Hongereni jamani, naona hapo shuhuli sio mchezo. Sporah Mdogo wangu ongeza juhudi you will definetly get there, wengi sana watakuja kwanjia ya kukupindua, lakini watakuwepo kwa siku mbili tatu wapige keleleee, then watapotea. Hivo we shikilia hiki vizuri maana YOUR SO REAL wengine photocopy. Keep Shining na Mungu akubariki, Inshahla
Nakubiana na wote hapo juu! ni wengi sana watakuja kwa nia yakukuangusha lakini!!!! Muda bado unakuruhusu Sporah, your still young, Beautiful and Talented and above all! Your REAL: Hawakuwezi Mama Njau We kaza mwendo dada mwisho wa safari utafika! Am a big fan of your Show bytheway!
Nakubaliana na wewe hapo juu, Sporah YOUR SO REAL and VERY YOUNG!! Accordingly............. We ndio KOMANDO MWINGINE WA TZ. Ukweli ni kwamba wanapoteza TU muda Hawakuwezi.. UKO REAL SANA AND THATS ALL ABOUT TV SHOW. HONGERA SANA SPORAH
Sporah mi ninaviswali viwili vitatu VGA Kizushi lakini utanisaidia sana Kama utayajibu! Je uko kwenye relationship? Unaboyfriend? Au mchumba? Naomba unisaidie mwenzio nipate usingizi maana hay maswali yananiumiza kichwa. Na Kama una boyfriend please who is He? Plse usidanganye. Hope to hear soon from you
WOOOW!!!! LOVE THIS ONE SPORAH.
ReplyDeleteSporah hii itakua the best shoo ever. Nakurespect dada
ReplyDeleteHongereni jamani, naona hapo shuhuli sio mchezo. Sporah Mdogo wangu ongeza juhudi you will definetly get there, wengi sana watakuja kwanjia ya kukupindua, lakini watakuwepo kwa siku mbili tatu wapige keleleee, then watapotea. Hivo we shikilia hiki vizuri maana YOUR SO REAL wengine photocopy.
ReplyDeleteKeep Shining na Mungu akubariki, Inshahla
Sporah mmependeza sana woote, ila ningependa zaidi Kama ungevaa hijab. Nasubiria kwa hamu kuangalia hii show.
ReplyDeleteMapochopocho jamani, Loooove this one Sporah.
ReplyDeleteSporah I think you should consider non ... Speakers please.
ReplyDeleteNakubiana na wote hapo juu! ni wengi sana watakuja kwa nia yakukuangusha lakini!!!! Muda bado unakuruhusu Sporah, your still young, Beautiful and Talented and above all! Your REAL: Hawakuwezi Mama Njau
ReplyDeleteWe kaza mwendo dada mwisho wa safari utafika!
Am a big fan of your Show bytheway!
Hata moe ningependa zaidi kama Sporah ungevaa Hijab
ReplyDeletebasi dada hata na we ungejitia kanga ufanane nao ma host wako....si unajua mwezi mtukufu unawatamanisha watu waliofunga..lakini poa piga ma show..
ReplyDeleteSporah your show is very very veeeerrrrry good my sister. I loove it.
ReplyDeleteHata mi nadhani dada Sporah IUngevaa Kanga na wewe!!!
ReplyDeleteILA NILISAHAU KUMBE UKO KAZINI.. SAMAHANI
I JUST LOVE YOUR SHOW MMMAAN. KARIBU SANA NEW YORK
Jamani vitumbua hivo!!!
ReplyDeleteWhen will this air in Africa?
ReplyDeleteNakubaliana na wewe hapo juu, Sporah
ReplyDeleteYOUR SO REAL and VERY YOUNG!! Accordingly.............
We ndio KOMANDO MWINGINE WA TZ.
Ukweli ni kwamba wanapoteza TU muda Hawakuwezi.. UKO REAL SANA AND THATS ALL ABOUT TV SHOW.
HONGERA SANA SPORAH
I just love the way you do your things sporah! I love your show too: keep up the wonderful job dear.
ReplyDeleteSporah mi ninaviswali viwili vitatu VGA Kizushi lakini utanisaidia sana Kama utayajibu! Je uko kwenye relationship? Unaboyfriend? Au mchumba? Naomba unisaidie mwenzio nipate usingizi maana hay maswali yananiumiza kichwa.
ReplyDeleteNa Kama una boyfriend please who is He? Plse usidanganye.
Hope to hear soon from you
UKO JUUU MAMAAA, NO DOUGHTING ABOUT IT.
ReplyDeleteI just loove your style and the way you carry yourself on public eye! Your such an inspiration to young women Miss Njau. Wishng you all the best.
ReplyDeleteHey, How to go about if you want to appear on your show? keep up the hard Work
ReplyDelete