Triying to log in on befftaawards website.. It seems something is not right.. I want to vote for you Sporah and all my family and friends will vote for you. Good luck and thanks alot for your inspiration. I love you.
Sporah i have a simple question and i need your help.Mimi ni muimbaji mziki hapa USA nakesha Studio kutengeneza Music lakini!!! Ivi ni kwakiki sisi watu kutokaTanzania hatupean support jamani?? Mi nimefanya uchunguzi nimeona watu wengi wanaokusapot ni watu wa nchi nyingine, Yes ni vizuri kupata support kutoka nchi nyingine hasa kwa show kama yako lakini Je watu wanyumbani sindio walitakiwa wakusppreciate you more before anybody alse!!!! Yaani hapa USA wabongo hatusaidianai kabisaaa sasa watu kama sisi tunoanza inakuaje? Ukienda kwa Kaka Michuzi is Full of CCM, ukiingia kwa Lady JD is full of Machozi Band, Ukienda Kwa Sporah Show is Full of Sporah Show, Ukienda kwa Teddy Kalongo is full of American Star!! Blog nyingine ukiingia na full of wakina dada wamevaa vichupi, wenye kulewa na kujisifia maisha yao, sijui nani anataka kuona ivo vitu badala yakutangaza Talents kama walivo wenzetu wa West and South African Countries.. YAAANI ITS ALL ABOUT ME ME ME ME ME.. IVI JAMANI TANZANIA TUTAFIKA? Sijui ni wivu au. Sasa ivi naona umechaguliwa kushinda award, hichi ni kitu kikubwa sana hasa katika nchi za watu kukubalika na mataifa tofauti, Lakini Huwezi kuona kitu kama hichi kwenye Media yetu, yaani sielewi HAKUNA MOTIVATION AT ALL.Ni vizuri kwa mtu kama wewe kwasababu unaweza kusurvive without Tanzanian support kwasababu show yako ni INTERNATIONAL.. HOW ABOUT PEOPLE LIKE US????? Naomba ujitahidi kuhusu swala hili ili uweze kuleta mapinduzi hasa kwa vijana wadogo wenye vipaji. Asante na Hopefully Utaipublish hii comment as it is. YOURS MDAU USA.
Sporah Jamani umekua mdada, niko hapa nakuangalia STAR TV, umependezaaa kama kawaida yako. Nakumbuka enzi za SLP WY! Nakusubiri tu urudi Bongo mamii. Kaka/Dada angu hapo juu, sidhani kama sasaivi Sporah anaweza kusurvive na publication ya Wabongo tu, ameshavuka mipaka kwahiyo hata kama wasipomchakua wao atachaguliwa na wengine. The Sporah Show is an African Brand, am just so proud of you because you're inspire everyone of us world wide, so Tz is just.. Wasikubabaishe Sporah. KIZURI CHAJIUZA, wabongo ndio walivo, wanamuandika Lady JD mabaya hapa bongo kila siku kwenye magazeti lakini we nenda pale Machozi Band, Utawakuta hao hao wamejaa tele kucheza nyimbo zake Kwahiyo mi nadhani hili sio tatizo wabongo ndio tulivo hivo Kaka/Dada angu hapo juu mimi kujibu swali lako is, Fanyakazi kwa juhudi uwaprove wrong. Sporah we minakujua ninauhakika vitu kama hivi havikusumbui, show yako watu wanaipenda hapa bongo hivo hata wasipocoment ZE TRIS IZ WANAIANGALIA. Njoo bwana Bongo TUMEKUMISOO
Naangalia show yako hapa Star Tv, aisee hongera sana dada: mimi niproducer na ningependa sana kufanya kazi na Tv shows Kama hii yakwako, ombi langu nimoja tu: Naomba ukiwa unakuna Bongo utangaze basi kwawale wanaotakakufanya kazi na wewe ili tuweze kujitokeza. Show yako Ni nzuri sana dada na I can see it to be one of the best show In whole Africa if not in the world. I will be very happy to work with you when you come to Africa. Also you can definetly count on my Vote.
Mama Kura yangu na familia yangu yoote umezipata, namwambia bint yangu kila siku akuangalie ili afuate mkondo wako. Hongera sana Mama na Mungu akuzidishie.
You are looking good guys..
ReplyDeleteThe Sporah Show all the way.. Will obviously vote for you Sporah. Well done.
Sporah show all the wayyyyyyyyy
ReplyDeleteSporah i looove your print dress, you look so hot with your friends..
ReplyDeleteHARD WORK PAYS SPORAH, YOU'RE SUCH AN INSPIRATION TO US.
ReplyDeleteWE LOVE YOUR SHOW AND OFCAURSE WILL VOTE FOR YOU.
KEEP ON REPRESENTING SPORAH.. VERY PROUD OF YOU.
ReplyDeleteCOUT ON ME.
XXXX RITHA XXXXX
Triying to log in on befftaawards website.. It seems something is not right..
ReplyDeleteI want to vote for you Sporah and all my family and friends will vote for you. Good luck and thanks alot for your inspiration. I love you.
Go girl!!! You deserve it. Count on my vote.
ReplyDeleteWe love you Sporah Show
ReplyDeletewell done guys and keep up the hard work.
ReplyDeleteWell done sporah show, you guys really really deserve this. You can definetly count on my vote.
ReplyDeleteSporah Endelea kuwakilisha mamii.. You're already the winner in our eyes. Karibu sana Bongo.
ReplyDeleteYou have nice figure Sporah, And beautiful sexy soft innocent voice on your TV Show.. I just wonder who us that Lckest man??
ReplyDeleteI love your show.
Sporah i have a simple question and i need your help.Mimi ni muimbaji mziki hapa USA nakesha Studio kutengeneza Music lakini!!!
ReplyDeleteIvi ni kwakiki sisi watu kutokaTanzania hatupean support jamani?? Mi nimefanya uchunguzi nimeona watu wengi wanaokusapot ni watu wa nchi nyingine, Yes ni vizuri kupata support kutoka nchi nyingine hasa kwa show kama yako lakini Je watu wanyumbani sindio walitakiwa wakusppreciate you more before anybody alse!!!! Yaani hapa USA wabongo hatusaidianai kabisaaa sasa watu kama sisi tunoanza inakuaje? Ukienda kwa Kaka Michuzi is Full of CCM, ukiingia kwa Lady JD is full of Machozi Band, Ukienda Kwa Sporah Show is Full of Sporah Show, Ukienda kwa Teddy Kalongo is full of American Star!! Blog nyingine ukiingia na full of wakina dada wamevaa vichupi, wenye kulewa na kujisifia maisha yao, sijui nani anataka kuona ivo vitu badala yakutangaza Talents kama walivo wenzetu wa West and South African Countries.. YAAANI ITS ALL ABOUT ME ME ME ME ME.. IVI JAMANI TANZANIA TUTAFIKA? Sijui ni wivu au.
Sasa ivi naona umechaguliwa kushinda award, hichi ni kitu kikubwa sana hasa katika nchi za watu kukubalika na mataifa tofauti, Lakini Huwezi kuona kitu kama hichi kwenye Media yetu, yaani sielewi HAKUNA MOTIVATION AT ALL.Ni vizuri kwa mtu kama wewe kwasababu unaweza kusurvive without Tanzanian support kwasababu show yako ni INTERNATIONAL.. HOW ABOUT PEOPLE LIKE US????? Naomba ujitahidi kuhusu swala hili ili uweze kuleta mapinduzi hasa kwa vijana wadogo wenye vipaji.
Asante na Hopefully Utaipublish hii comment as it is.
YOURS MDAU USA.
Wishing you all the best Sporah Show, hard work pays, you will get many many awards in the feature if you keep it that way.
ReplyDeleteWe love you you.
NIKO HAPA NAANGALIA SHOW YAKO SASAIVI STAR TV. GIRL YOU ROCK, AM LOVING IT.
ReplyDeleteNaangalia show yako hapa Mama Star Tv, Mtoto Umetulia.
ReplyDeleteKaribu sana Bongo.
Sporah Jamani umekua mdada, niko hapa nakuangalia STAR TV, umependezaaa kama kawaida yako. Nakumbuka enzi za SLP WY! Nakusubiri tu urudi Bongo mamii.
ReplyDeleteKaka/Dada angu hapo juu, sidhani kama sasaivi Sporah anaweza kusurvive na publication ya Wabongo tu, ameshavuka mipaka kwahiyo hata kama wasipomchakua wao atachaguliwa na wengine. The Sporah Show is an African Brand, am just so proud of you because you're inspire everyone of us world wide, so Tz is just.. Wasikubabaishe Sporah.
KIZURI CHAJIUZA, wabongo ndio walivo, wanamuandika Lady JD mabaya hapa bongo kila siku kwenye magazeti lakini we nenda pale Machozi Band, Utawakuta hao hao wamejaa tele kucheza nyimbo zake Kwahiyo mi nadhani hili sio tatizo wabongo ndio tulivo hivo Kaka/Dada angu hapo juu mimi kujibu swali lako is, Fanyakazi kwa juhudi uwaprove wrong.
Sporah we minakujua ninauhakika vitu kama hivi havikusumbui, show yako watu wanaipenda hapa bongo hivo hata wasipocoment ZE TRIS IZ WANAIANGALIA.
Njoo bwana Bongo TUMEKUMISOO
Sporah try to consider people who don't understand your local language.
ReplyDeleteLet every comment be in English.
Am watching your show right now kwenye STAR TV, you're looking very sexy. Aisee njoo Bongo, kina Vodacom, Cocacola watakukimbilia Kama utitiri.
ReplyDeleteNaangalia show yako hapa Star Tv, aisee hongera sana dada: mimi niproducer na ningependa sana kufanya kazi na Tv shows Kama hii yakwako, ombi langu nimoja tu: Naomba ukiwa unakuna Bongo utangaze basi kwawale wanaotakakufanya kazi na wewe ili tuweze kujitokeza. Show yako Ni nzuri sana dada na I can see it to be one of the best show In whole Africa if not in the world. I will be very happy to work with you when you come to Africa. Also you can definetly count on my Vote.
ReplyDeleteMama Kura yangu na familia yangu yoote umezipata, namwambia bint yangu kila siku akuangalie ili afuate mkondo wako. Hongera sana Mama na Mungu akuzidishie.
ReplyDelete