ITS ANOTHER FRIDAY.. DON'T MISS OUT THE SPORAH SHOW TODAY AT 18:00pm and TOMOR 13:00pm ON STAR TV IN TANZANIAAAAAA.. STAY TUNE.

13 comments:

 1. Lina.03:55

  Tuko pamoja.

  ReplyDelete
 2. Anonymous04:40

  I Can't miss it Sporah.

  ReplyDelete
 3. Anonymous06:05

  Siwezi kukosa.

  ReplyDelete
 4. Lameki06:11

  Bongo lini sister?

  ReplyDelete
 5. Anonymous08:23

  Siwezi kukosa dada, am your big big big fan! Karibu sana Musoma.

  ReplyDelete
 6. Anonymous10:15

  Am watching your show Sporah..

  ReplyDelete
 7. Naomi10:21

  Nakuona hapa Star TV dada, umependezaaa

  ReplyDelete
 8. Anonymous11:05

  Nice show Sporah, keep it up dada

  ReplyDelete
 9. Anonymous12:08

  I enjoyed your show today Sporah..

  ReplyDelete
 10. Laura12:18

  Show ilikua nzuri dada, hongera sana.

  ReplyDelete
 11. Rehema13:11

  Mamaa nimekuona Leo Star TV kwa raha zako, sasa bongo lini tuambiane basi. Ni email mamii
  Yours Rehema - Japan

  ReplyDelete
 12. Mc Lee14:40

  Aisee nimemiss show yako Leo, ila kesho siwezi kuikosa hapa Star TV, yaani huku wanatuchanganya na mambo Yao ya uchaguzi' kesho ntaicheck alafu nitakupa feed back.
  Nakuaminia Mrembo, Keep up representing us.

  ReplyDelete
 13. Diana02:51

  I love the sporah show and I Love sporah njau. Karibu mwanza tule samaki Mamaa. Big up Sporah.

  ReplyDelete