THE SPORAH SHOW WISHES YOU MERRY CHRISTMAS & A PROSPEROUS NEW YEAR...

15 comments:

 1. Anonymous04:29

  you too spora

  ReplyDelete
 2. Anonymous04:41

  Aww! Nice one dear i like this one. very chick sporah

  ReplyDelete
 3. Anonymous09:15

  And You Sporah.

  ReplyDelete
 4. Anonymous17:57

  Nawewe pia Spora, Nimeona show yako Star tv, Mamaaaa uko juu. Nimeipenda.

  ReplyDelete
 5. Anonymous18:41

  This is very nice Sporah, and you are very beautiful.

  ReplyDelete
 6. Anonymous04:52

  And you too Sporah.

  ReplyDelete
 7. Naima.04:56

  Na wewe pia Sporah.

  ReplyDelete
 8. Kassim13:39

  Hii kali Sporah, sana tu. Napenda hiyo ya Snow, kwanini usituonyeshe yote jamani! Unajua Bongo hatuna Snow. We love you Sporah na karibu sana Bongo.

  ReplyDelete
 9. Anonymous14:06

  Mbona wewe haujatualika Pilau Sporah? Karibu sana Reading.

  ReplyDelete
 10. Mdau Morogoro05:43

  Pilau tena bado limebaki Sporah, Karibu sana Morogoro.
  Niliona show yako juzi Star tv, niliipenda sana, hasa jinsi unavotangaza. Karibu sana Mororogoro Dada kuna shule nyingi sana za bording ambazo ingekua vizuri kama Star kama wewe ungezitembelea na kuongea na kinadada maana huku Mambo ya Abotion yanatuua sisi kina dada, hasa hizi shule za bording. kwakweli ingekua ni vizuri sana kama ungeweza kututembelea nakuongea machache kuhusu abortion kwa vijana wasasa. Nakutakia Kheri ya Mwaka mpya 2011, na Mungu akuzidishie na akupe ushujaa zaidi.
  Mdau Morogoro

  ReplyDelete
 11. Anonymous06:02

  Yani Sporah umekua mkubwa!! Cant wait to see you.
  Sasa Bongo lini?

  ReplyDelete
 12. Anonymous10:06

  All the best With your show on 2011 baby girl.

  ReplyDelete
 13. Anonymous20:28

  I like your show, I watched it on BEN TV. And like the way you interact with your guest, so real.
  Keep up.

  ReplyDelete
 14. Anonymous04:20

  Happy New Year The Sporah Show.

  ReplyDelete
 15. Anonymous04:47

  I IKE THAT SNOW PART, NEXT TIME CALL ME PLSE TO COMPANY YOU.

  ReplyDelete