7 TIPS THAT WOMEN SHOULD NEVER DO ON THEIR 1ST DATE..

8 comments:

 1. Anonymous14:58

  Sporah, i watched your show today, I loooooooove the pink top, GIRL! I love your style.

  ReplyDelete
 2. Anonymous15:01

  Sporah mi nimbongo naishi bongo ila nipo hapa London likizo, leo nimeiona show yako BEN TV, kusema ukweli nimefurahi sana kuona mtanzania anafanya mambo kama haya, halafu nilikua na watu wa nchi nyingine na wote walikua wanajua kuhusu show yako, its soo good.
  You made us Proud Sporah. Keep up the hard work.

  ReplyDelete
 3. Anonymous15:05

  Umependeza sana hapa Sporah, anyway you always do!

  ReplyDelete
 4. Anonymous17:27

  Sporah kifuani hapo mbona ivo! You look good Dadaangu.
  Mdau Texas

  ReplyDelete
 5. Anonymous17:57

  hey guys, english plse.

  ReplyDelete
 6. Anonymous19:29

  Talking about our X's is a big problem with alot of ladies.

  ReplyDelete
 7. Anonymous03:55

  Warembo wengi wanadanganya kwenye 1st date ndo maana unakuta kina Kaka wanadumbukia kwenye matatizo maana unakuta nafikiri unadate mdada wa maana kumbe njonjo tu! Wakina dada weengi wako ivo, plus YOU Sporah.

  ReplyDelete
 8. Anonymous17:09

  Men likes hard working women, thats it.

  ReplyDelete