WAADHIRIKA WA MABOMU TANZANIA, POLENI SANA MUNGU AWAPE WOTE NGUVU KATIKA WAKATI HUU MGUMU.

THE SPORAH SHOW PRODUCTION INAWAPA POLE SANA WAARHIRIKA WA MABOMU TANZANIA, TUNAWAOMBEA MUNGU AWAPE WOTE NGUVU HASA KATIKA WAKATI HUU MGUMU.

11 comments:

 1. Anonymous04:20

  Why using your local language on this blog?!!!

  ReplyDelete
 2. Anonymous04:23

  Sporah nakuona hapa Star Tv, aisee uko bomba.

  ReplyDelete
 3. Anonymous04:34

  Nakuona hapa star tv unaongea na Muimbaji wa Kenya. Shoe ako iko bomba sana Dada. Nimeipenda hii.

  ReplyDelete
 4. Anonymous08:32

  Sisters for life, I love you 2 ladies.

  ReplyDelete
 5. Anonymous12:34

  Mmependeza sana dada zangu.... lol

  ReplyDelete
 6. Anonymous19:58

  Kwakweli inasikitisha sana.

  ReplyDelete
 7. Anonymous01:44

  nyie warembo mnaleta visura kwenye tabu hivi mko siriasi kweli? eti mnajichekesha kisha mwatia pole hebu muwe na heshima

  ReplyDelete
 8. Anonymous04:44

  Hey guys, why local language! On The Sporah Show!!! We don't understand,;(:;)

  ReplyDelete
 9. Anonymous14:08

  Sasa we anonymous hapo juu ulitaka waweke picha wakiwa wanalia? Kama unavowaona hao kina dada jamani ni wazuri, hatakama wakiwa namajonzi bado tu wataonekana wazuri. Mbona Kikwete alienda Hospitali kuwasalimia wagonjwa akiwa amevaa Suit Kubwa, na tabasamu zuri tu! MAJI YAKISHA MWAGIKA HAYAZOLEKI BABU. Kuweka picha za huruma haimaanishi kama ndio unauchungu zaidi, we acha Ushamba.

  ReplyDelete
 10. Anonymous01:26

  Pls my draw your attention!
  Ni waathirika sio waadhirika. Pls sahihisha hii najua Wachagga wengi wana hili tatizo. Better still.....use your Kiswahili dictionary for a better understanding of this. I hope this helps

  ReplyDelete
 11. MDAU SWEDEN13:52

  SPORAH SHOW NI SHOW INAYOANGALIWA NA MATAIFA MBALI MBALI SASA MKISEMA AWEKE KISWAHILI WENGINE WATAELEWA NINI,MUELEWENI HAPO,WEWE KWELI KICHWA NA NILICHOKIPENDA ZAIDI SHOW YAKO INARUSHWA HADI BONGO BIG UP MUMY

  ReplyDelete