Sasa we anonymous hapo juu ulitaka waweke picha wakiwa wanalia? Kama unavowaona hao kina dada jamani ni wazuri, hatakama wakiwa namajonzi bado tu wataonekana wazuri. Mbona Kikwete alienda Hospitali kuwasalimia wagonjwa akiwa amevaa Suit Kubwa, na tabasamu zuri tu! MAJI YAKISHA MWAGIKA HAYAZOLEKI BABU. Kuweka picha za huruma haimaanishi kama ndio unauchungu zaidi, we acha Ushamba.
Pls my draw your attention! Ni waathirika sio waadhirika. Pls sahihisha hii najua Wachagga wengi wana hili tatizo. Better still.....use your Kiswahili dictionary for a better understanding of this. I hope this helps
SPORAH SHOW NI SHOW INAYOANGALIWA NA MATAIFA MBALI MBALI SASA MKISEMA AWEKE KISWAHILI WENGINE WATAELEWA NINI,MUELEWENI HAPO,WEWE KWELI KICHWA NA NILICHOKIPENDA ZAIDI SHOW YAKO INARUSHWA HADI BONGO BIG UP MUMY
Why using your local language on this blog?!!!
ReplyDeleteSporah nakuona hapa Star Tv, aisee uko bomba.
ReplyDeleteNakuona hapa star tv unaongea na Muimbaji wa Kenya. Shoe ako iko bomba sana Dada. Nimeipenda hii.
ReplyDeleteSisters for life, I love you 2 ladies.
ReplyDeleteMmependeza sana dada zangu.... lol
ReplyDeleteKwakweli inasikitisha sana.
ReplyDeletenyie warembo mnaleta visura kwenye tabu hivi mko siriasi kweli? eti mnajichekesha kisha mwatia pole hebu muwe na heshima
ReplyDeleteHey guys, why local language! On The Sporah Show!!! We don't understand,;(:;)
ReplyDeleteSasa we anonymous hapo juu ulitaka waweke picha wakiwa wanalia? Kama unavowaona hao kina dada jamani ni wazuri, hatakama wakiwa namajonzi bado tu wataonekana wazuri. Mbona Kikwete alienda Hospitali kuwasalimia wagonjwa akiwa amevaa Suit Kubwa, na tabasamu zuri tu! MAJI YAKISHA MWAGIKA HAYAZOLEKI BABU. Kuweka picha za huruma haimaanishi kama ndio unauchungu zaidi, we acha Ushamba.
ReplyDeletePls my draw your attention!
ReplyDeleteNi waathirika sio waadhirika. Pls sahihisha hii najua Wachagga wengi wana hili tatizo. Better still.....use your Kiswahili dictionary for a better understanding of this. I hope this helps
SPORAH SHOW NI SHOW INAYOANGALIWA NA MATAIFA MBALI MBALI SASA MKISEMA AWEKE KISWAHILI WENGINE WATAELEWA NINI,MUELEWENI HAPO,WEWE KWELI KICHWA NA NILICHOKIPENDA ZAIDI SHOW YAKO INARUSHWA HADI BONGO BIG UP MUMY
ReplyDelete