ALLY KIBA AND CONDOM ISSUE!

17 comments:

 1. Anonymous03:13

  Nilikua nakuangalia hapa star tv, uko juu dada.

  ReplyDelete
 2. Anonymous03:15

  Just watchn yr show with the Ugandan Artists,t was fantastic.Love u n yr show.

  ReplyDelete
 3. Anonymous03:17

  Nimekuona leo star tv, Gauni na nywele kama kawaida yangu, nimevipenda sana.

  ReplyDelete
 4. Anonymous05:11

  Why would a woman carry a condom?!! No Way.

  ReplyDelete
 5. Agibes05:51

  Wala usimlaumu Ally Kiba Sporah, wabongo wengi ndivyo walivo. Bora mtu afe kuliko avae Condom. Yaani wanauzi!

  ReplyDelete
 6. Anonymous06:10

  Ali Kiba wewe ni msani(Kioo cha jamii) unapokuwa kwenye interview jiamini kaka yangu, ongea the way unavyojisikia usimeze manene. UNANIANGUSHA KAKA.....

  ReplyDelete
 7. Anonymous08:31

  Wabongo wanaona Condom inaondoa utamu wote, ndio maana hawataki. Ila Sporah endelea kupiga kelele hivihivi kubadilisha vijana wetu.

  ReplyDelete
 8. Anonymous13:19

  Wabongo hawapendi condom jamani, Si aibu hii! LOH

  ReplyDelete
 9. Anonymous19:59

  Show nzuri dada.

  ReplyDelete
 10. Anonymous03:36

  It's not usual for a woman to carry a condom! I mean where are you going with a condom in your bag?if u ar a responsible woman u should be able to tell your boyfriend NO! or plse wear a condom.
  I never ever carry a condom and I'll never do! But am always question my boyfriend about it and he knows that I can never do anything without a condom. So ladies learn to question your boyfriend. Otherwise, Condom is very important I agree with Sporah show.

  ReplyDelete
 11. Anonymous04:43

  Don't full yourself ladies, condom is very important in your bag, it doesn't matter if your boyfriend will have one or not! Think of yourself there's so many STD out there, carrying a condom in your bag doesn't mean that your a fox!! NO, it means that your a responsible girl.
  Tysha

  ReplyDelete
 12. Anonymous08:27

  Hili ni tatizo kubwa sana kwa vijana wetu hapa Bongo, Wengi wao hawapendi hata kusikia hilo jina Condom, mtu bora afe, hasa wakishaona kabinti kazuri ndio kabisaa mtu anaona hawezi kumfaidi mtoto mzuri ukitumia Condom, so hilo ndio tatizo, Ila kwa hii show yako dada nadhani utaweza kufungua watu macho hasa vijana. Kazi njema na endelea ku shine light.
  Kassim

  ReplyDelete
 13. Anonymous09:04

  Hey, Am a girl of 23 years of age, and i do carry a condom, i don't go anywhere without a condom in my wallet, not for a bad reason but WHY NOT??????????????????????????. Am protecting my self. Why do we wear big jacket during winter time? we'r protecting ourselves from getting cold, so why not protecting myself from getting STD'zzzzzzzz!!!!!!!!!
  Come on, wake up ladies.

  ReplyDelete
 14. Anonymous11:09

  Acheni ujinga nyie, mtoto wa Kike atabebaje Condom kama sio upungufu wa akili, Mi nikimkuta dem wangu na condom kwenye begi lake namuacha siku hiyohiyo. Bila hata swali.

  ReplyDelete
 15. Anonymous16:07

  I Love Sporah Show.

  ReplyDelete
 16. Anonymous02:06

  uko juu

  ReplyDelete
 17. Anonymous06:26

  Kiba mwenyewe hapendi Condom huyo.

  ReplyDelete