DON'T MISS THE SPORAH SHOW LEO JIONI SAA KUMI NA MBILI (18:PM) NDANI YA STAR TV IN TANZANIA, STAY TUNE!

9 comments:

 1. Naima.18:04

  Nakupenda sana sporah, endelea kuwasha moto mama tuko pamoja.

  ReplyDelete
 2. Anonymous18:08

  Siweku kukosa mamii, Mi navutiwa sana na mavazi yako, kuanzia nywele, viatu kila kitu.
  Vipi unakuja lini bongo?
  Fan wako mkubwaaaa ANGEL

  ReplyDelete
 3. Anonymous18:13

  why your local language @ Sporaaaaaaa

  ReplyDelete
 4. Anonymous18:20

  Tuko pamoja dada.

  ReplyDelete
 5. Anonymous18:26

  Sikosi Sporah show hatasikumoja dadaangu,
  Uko juuuuuuu..
  Jacky Mbezi Beach

  ReplyDelete
 6. Anonymous18:56

  Tupo pamoja sister.

  ReplyDelete
 7. Anonymous20:03

  Hi Sporah, just a quick one
  What is the main legal requirement of investing in Tanzania?
  Am gonna send you an email now, plse get back to me.

  ReplyDelete
 8. Anonymous06:52

  Nakusubiria Sporah.

  ReplyDelete
 9. Anonymous14:27

  Leo nilikua naangalia show yako umeme ukanikatikia katikati, ntakuangalia kesho sporah.

  ReplyDelete