Dada Spora mimi ni fan wako mkubwa sana na sikosi show yako dada star tv, naipenda sana na nadhani we ni mfano mzuri sana kwa kina dada hapa nyumbani. Ni wazo tu, nilikua nafikiria labda ungeweza kusaidia mashuleni ukajaribu kuongea na watoto wa shule. Naamini unaweza kuokoa mabinti wengi sana Bongo, NGONO IMEZIDI SANA MASHULENI DADA. Tunu
Nice one sporah.
ReplyDeleteHii safi sana Dada, uko juu.
ReplyDeleteVery inspirational, I like her.
ReplyDeleteAre you in any relationship Sporah? Am just crz!!
ReplyDeleteHi Sporah, this is a nice show, I just want to give you a huge cuddle.! Well done hun, made us really proud.
ReplyDeleteBongo lini dada Sporah?
ReplyDeleteswali zuri, bongo lini dada Sporah?
ReplyDeleteDada Spora mimi ni fan wako mkubwa sana na sikosi show yako dada star tv, naipenda sana na nadhani we ni mfano mzuri sana kwa kina dada hapa nyumbani. Ni wazo tu, nilikua nafikiria labda ungeweza kusaidia mashuleni ukajaribu kuongea na watoto wa shule. Naamini unaweza kuokoa mabinti wengi sana Bongo, NGONO IMEZIDI SANA MASHULENI DADA.
ReplyDeleteTunu
Such an inspirational lady, Big up Glory.
ReplyDeleteMost men are like that, Thank God you have your baby now. Nice Show Sporah.
ReplyDeletenice one girl.
ReplyDelete