Sporah Mi naitwa Tunu Ni mkazi wa Arusha, huwezi amini Leo nilikua naongea na njeree mmoja (MASAI) nikamwambia nawahi nyumbani kuangalia kipindi cha Sporah show, njeree akasema hata mimi nakiangali akaanza kuniadidhia show zako za nyuma ambazo ameshawahi kuziangalia. Sikuamini macho yangu maana njeree wanakuaga wabishi hata kuangalia News? Ha ha ha lakini hawakosi Spora Show. IKO JUU Spora.
Sporah mamii i would like to give ua very big up today i have enjoy ur sho so very much u for sure we ladys tumejifunza sana. Also am happy that u have work on audio problem. Big up Sister.
Sporah umependeza sana.
ReplyDeleteYaani niko hapa nakuaubiria kwa hamu, mambo yote Star Tv bana.
ReplyDeleteSporah Mi naitwa Tunu Ni mkazi wa Arusha, huwezi amini Leo nilikua naongea na njeree mmoja (MASAI) nikamwambia nawahi nyumbani kuangalia kipindi cha Sporah show, njeree akasema hata mimi nakiangali akaanza kuniadidhia show zako za nyuma ambazo ameshawahi kuziangalia. Sikuamini macho yangu maana njeree wanakuaga wabishi hata kuangalia News? Ha ha ha lakini hawakosi Spora Show. IKO JUU Spora.
ReplyDeleteNakuangalia hapa, hapa jamani Umependeza sana Miss Sporah. Napenda unavopangilia viwalo vyako.
ReplyDeleteSporah mamii i would like to give ua very big up today i have enjoy ur sho so very much u for sure we ladys tumejifunza sana. Also am happy that u have work on audio problem. Big up Sister.
ReplyDeleteDa hair sporahhhhh
ReplyDeleteYou made us Proud Sporah, keep up girl.
ReplyDelete