HI GUYS, NI JUMAMOSI NYINGINE TENA!, DON'T MISS OUT THE SPORAH SHOW TODAY AT 13:00PM ON STAR TV IN TANZANIA.

7 comments:

 1. Anonymous14:48

  Sporah umependeza sana.

  ReplyDelete
 2. Aysha - Mbeya.02:53

  Yaani niko hapa nakuaubiria kwa hamu, mambo yote Star Tv bana.

  ReplyDelete
 3. Anonymous03:02

  Sporah Mi naitwa Tunu Ni mkazi wa Arusha, huwezi amini Leo nilikua naongea na njeree mmoja (MASAI) nikamwambia nawahi nyumbani kuangalia kipindi cha Sporah show, njeree akasema hata mimi nakiangali akaanza kuniadidhia show zako za nyuma ambazo ameshawahi kuziangalia. Sikuamini macho yangu maana njeree wanakuaga wabishi hata kuangalia News? Ha ha ha lakini hawakosi Spora Show. IKO JUU Spora.

  ReplyDelete
 4. Anonymous03:15

  Nakuangalia hapa, hapa jamani Umependeza sana Miss Sporah. Napenda unavopangilia viwalo vyako.

  ReplyDelete
 5. Anonymous03:27

  Sporah mamii i would like to give ua very big up today i have enjoy ur sho so very much u for sure we ladys tumejifunza sana. Also am happy that u have work on audio problem. Big up Sister.

  ReplyDelete
 6. Anonymous08:08

  Da hair sporahhhhh

  ReplyDelete
 7. Saum12:20

  You made us Proud Sporah, keep up girl.

  ReplyDelete