DON'T MISS OUT THE SPORAH SHOW LEO 1:00PM NDANI YA STAR TV!

WAPENDWA WANGU, NI WEEKEND NYINGINE TENA!! I HOPE YOU ALL HAD A GREAT WEEK! NAWAKUMBUSHA TENA, DON'T MISS OUT THE SPORAH SHOW LEO 13:00PM ON STAR TV IN TANZANIAA
VERY MANY THANKS TO YOU ALL FOR KEEPING ME GOING... I Love You All XX XX

9 comments:

 1. Anonymous16:41

  Shaka ondoa dada angu.

  ReplyDelete
 2. Anonymous16:51

  WHY MIXING LANGUAGES????

  ReplyDelete
 3. Anonymous16:56

  Sporah hulali we mtoto jamani!! sawa mamii tutakucheki, mi nataka nione tu nywele mwenzio na viatu, lol

  ReplyDelete
 4. Anonymous17:49

  Siwezi kukosa kukuangalia miss njau. Nakupenda sana na ninaipenda show yako kupita maelezo. Uko juu dada.

  ReplyDelete
 5. Anonymous23:19

  Napenda Sana show yako, siwezi kosa dada.

  ReplyDelete
 6. Anonymous23:41

  Khe huyu vipi sasa mtu asichanganye lugha yake? Embu msimpotoshe Sporah wetu. Wivu tu!
  Du sporah kazi unayo Mdogo wangu na hao wazungu wako. We love you Mamaa.

  ReplyDelete
 7. Anonymous03:24

  Hatukosi kukuangalia, ila dada jaribu kuchanganya show yako na Kiswahili basi.

  ReplyDelete
 8. Anonymous09:33

  Star TVvvvvvvvvvvvvvvvvv

  ReplyDelete
 9. Anonymous09:50

  Abortion kwa wanafunzi!

  ReplyDelete