TODAY TODAY TODAY! USIKOSE KIPINDI CHAKO CHA THE SPORAH SHOW LEO 13:00PM NDANI YA STAR TV!

Special Easter Candle Wishes!
Warm wishes for a wonderful Easter!
The Easter feeling does not end,
it signals a new beggining of nature spring
and brand new life of friendship.
Happy Easter to My Best Friend!Wishing U a Very “HAPPY EASTER”
Wid Luv And Best Wishes..
May That EASTER Day Brings
LOT of Happiness And JOYS in ur LIFE.
May u Live Long LIFE…
And That EASTER day Will comes in UR life Hundred Times…
Remember me in ur prayers..
Let this joy of Easter may fill up your heart today and the whole year ahead. Happy Easter!
Easter is a promise God renews to us in each spring. May the promise of Easter fill your heart with peace and joy!
Happy Easter To You all! MUCH LOVE XX

21 comments:

 1. Anonymous17:20

  Jamani Sporah unajitahidi! hongera sana mamii.

  ReplyDelete
 2. Anonymous17:52

  Kwa mambo unayoyafanya dada kwa nchi ya uingereza naamini kabisa ukiwa Africa unafanya x100000000000000000000, sijui plan zako lakini naomba ulifikirie hili. Sikosi show yako dada uko juu.

  ReplyDelete
 3. Anonymous18:02

  Wonderful! Wonderful! Wonderful!

  ReplyDelete
 4. Anonymous18:09

  Na wewe pia dada.

  ReplyDelete
 5. Anonymous18:42

  Tuko pamoja.

  ReplyDelete
 6. Anonymous00:11

  Enjoy yours too hun!

  ReplyDelete
 7. Anonymous01:04

  Jamani nimeshindwa kuvumilia, nimeipata hii comment kwenye Sporah Show' Fan Page!
  "Hey sporah,i like your show it's educational,entertaining and refreshing.i admire your looks honestly you look very classy and beautiful.my only concern is that sometimes when your talking it feels like your struggling with your grammar,just work on it a little bit.otherwise congratulations and all the best"
  Ndugu yangu, She will always strangle with her grammar because she is not English, not American!!! HELLOOOOO WAKE UP! Ivi unawaona Wafaransa waitaliano, WaGermany, Wachina, Waarabu etc, jinsi hawajui kiingereza na bado wako ontop? Hata marais wao tunawaona kwenye mikutano wanawekewa Interpreter au kwa ki lugha chao! sisemi nivibaya kumrekebisha mtu lakini nadhani ingekua good idea kama ungemtumia email private badala ya kumuandikia kwenye wall yake. Halafu mtanzania mwenzetu! ambae un ajua kabisa More than 95% ya nchi yetu hatuongei kiingereza! jamani mbona Sporah anajitahidi sana? Sio kwa ubaya lakini umeniuzi, acheni kujifanya wazungu!
  Mi nampenda Sporah to death, i wont let people like you to heart her kwasababu na mimi lugha inanipiga chenga lakini am well successful with my life. Mlikua mnamchimba lady JD mmeshindwa, AY Mmemshindwa, Kanumba Mmemshindwa, sasa mnataka kunichokoza!!!
  Tafuta kazi dada au anzisha talk show yako na wewe ufanye kama Oprah Winfrey!!! SPORAH I LOVE YOU AND I WILL KILL SOMEONE BECAUSE OF YOU! You Inspired me allloooot! kila nikiongwa na watoto/wadogo zangu nawatolea mfano wako wewe na Lady jay D! am sorry labda nime Over react lakini ita all because of The Love I have for her and her Show. and i think ana represent THE REAL AFRICAN! na labda hii ndio sababu show yake ina Lead Uingereza! Angekua anaongea ma grammar angerepresent Waingereza au Wamarekeni.
  Happy Easter Wadau.

  ReplyDelete
 8. Anonymous03:18

  Happy Easter to you mamii!

  ReplyDelete
 9. Anonymous03:58

  Jamani niushauri tuuu, na nimeona Sporah ameupokea vizuri sana tu, ama kweli wapambe wananguvu kuliko...

  ReplyDelete
 10. Anonymous04:02

  Hey, if you really do need to criticize, then package it well? I wish i could understand that Language! Loool.

  ReplyDelete
 11. Anonymous04:02

  Jamani wabongo mna mambo!!

  ReplyDelete
 12. Anonymous04:05

  Kukosolewa ndio maendele jamani, vinginevo spora hawezi kufika popote na ninauhakika anajua ili very well, na ndio maana amelipokea. Mwenzenu ameenda shule anajua anachokifanya. Sporah I Love your style.

  ReplyDelete
 13. Anonymous04:13

  English please!

  ReplyDelete
 14. Anonymous04:17

  Ivi we unafikiri kurun talk show ni kazi rahisi? We mwenyewe hata ukienda tu kwenye interview ya radio inaigopesha sembuse kuwa mbele ya macamera yoote na watu ontop! Tena na lugha za watu? Jamani mpeni sifa zake. Uko juu sporah

  ReplyDelete
 15. Anonymous14:41

  Thanx i saw yr show with michuzi,,keep t real gal..

  ReplyDelete
 16. Anonymous15:10

  True True True, show yako leo na michuzi ilikua BAAAAAAB KUBWA!

  ReplyDelete
 17. Anonymous16:34

  Jamani Acheni Uzushi mbona leo nimeangalia show ya sporah na Issa Muchuzi Star tv na ilikua pouwa tu! tena Michuzi wangu ndio alikua anababaika na kithungu! ila sikushangaa maana sio lugha yake. Acheni maneno jamani ni wangapi wameshawahi kufikia hata robo ya alipofika sporah? Sifa zake mpeni jamani na we unaetaka magrammar Kithungu basi tune to ITV News, au TBC.
  SIMPLE. we love you sporah wasikubabaishe.

  ReplyDelete
 18. Anonymous18:05

  Jamani mbona amemsifia tu! Na pia kukosolewa kwenye kazi nikitu cha kawaida sana, and am sure sporah analijua hili very wel. Easter Njema wapenzi.

  ReplyDelete
 19. Naija girl12:42

  Happy Easter Sporah, Whats ya plan girl?

  ReplyDelete
 20. A Child Of God16:35

  ‎"No matter how much you learn, or do...no matter how many qualifications you 'collect' ... this does not bring satisfaction...it does not make you feel happier or safer...it does not make you 'whole' ... it is a nice occupation, but it is not the way to integrity...so what to do? just don't-do...and realize that you already have all that you want and need...you have yourself." inspired by 'The School for Gods'..

  ReplyDelete
 21. Anonymous17:31

  Cha muhimu ni kupata msg, je msg mnaipataga au la! Ukweli ni kwamba sporah show inavuma kwa fujo zooote hapa bongo kwa sasa na pia ukiangalia huku kwenye ma blog na facebook/Youtube mdada anaongoza, sasa mnabisha nini? Acheni malumbano dada zangu na jaribuni kuukubali ukweli, Sporah Anatisha. Karibu Mwaza dada sporah tule Ugali wa Samaki.

  ReplyDelete