Sporah hongera sana dada kwashow yako, jana niliingalia na niliipenda sana, Inafundisha vizuri. Ombi langu ni moja tu, ongelea na issue za vijana wetu pia, wanapotoshwa sana na madawa ya kulevia sikuizi hata ma bording school watoto wanaenda na madawa, yaani mambo sio mazuri kabisa huku. Jitaidi kupiga kelele kwa watoto wakiume. Pasaka Njema.
Nice setting!
ReplyDeleteHizi nywele zimekupendeza sana Sporah!
ReplyDeleteOngelea basi na issue zinazowausu wanaume sio wanawake tu! Nimekuangalia leo star tv, Nameipenda sana show yako.
ReplyDeleteENGLISH ENGLISH ENGLISH PLEASE! @ Sporah Njau
ReplyDeleteHappy Easter maddam Sporah!
ReplyDeleteNimekuona Star TV, uko juu dada.
ReplyDeleteI HAVE NO IDEA, WHEN IS THE RIGHT TIME TO CHECK MY BREASTS TISSUE, GOOD SHOW.
ReplyDeleteI Love you sporah
ReplyDeleteSporah hongera sana dada kwashow yako, jana niliingalia na niliipenda sana, Inafundisha vizuri.
ReplyDeleteOmbi langu ni moja tu, ongelea na issue za vijana wetu pia, wanapotoshwa sana na madawa ya kulevia sikuizi hata ma bording school watoto wanaenda na madawa, yaani mambo sio mazuri kabisa huku. Jitaidi kupiga kelele kwa watoto wakiume. Pasaka Njema.
Nice Studio.
ReplyDeleteEnglish Pleaseeeee @ Sporah Show! This is so wrong. Why local language????????????? Gggggrrrrrrrr!
ReplyDeletei love your show, i wish we had your channel here in U.S
ReplyDelete