SPORAH AT THE ROYAL WEDDING! (Full Kiswanglish)


What a wonderful day, It was a beautiful day! It really was! It was amazing. Wishing Kate and William all the luck and happiness in the world.

54 comments:

 1. Anonymous13:48

  THIS IS WHAT I WAS TALKING ABOUT... TICK TICK SPORAH SHOW.

  ReplyDelete
 2. Anonymous13:51

  From rags to Riches lol

  ReplyDelete
 3. Anonymous13:53

  At last kiswahili on the sporah show ha ha ha.

  ReplyDelete
 4. Anonymous13:57

  You look lovely spora.

  ReplyDelete
 5. Anonymous13:59

  Cahterine looked amazing!!

  ReplyDelete
 6. Anonymous14:00

  The British economy might be sclerotic, but at least they can still do a good royal wedding.

  ReplyDelete
 7. Anonymous14:02

  Enough Royal articles. Positive, negative, sycophantic , I don't care. Enough sporah!

  ReplyDelete
 8. Anonymous14:06

  Your Language sound very sweet sporah!

  ReplyDelete
 9. Anonymous14:08

  sporahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh

  ReplyDelete
 10. Anonymous14:11

  Nimekukubali dada sporah.

  ReplyDelete
 11. Anonymous14:12

  stupid rich kids.

  ReplyDelete
 12. Anonymous14:15

  Who cares about the royals????

  ReplyDelete
 13. Anonymous14:20

  Oi oi, your language sound hot,you sound sexy as hell sporah.

  ReplyDelete
 14. Anonymous14:23

  Mnachekelea barabarani kweupe wakati imewakost UK £5 billion, Crazy.

  ReplyDelete
 15. Anonymous14:27

  Uko juuuuu sporah

  ReplyDelete
 16. Anonymous14:37

  Pia na kina dada wajifunze mambo ya kuvaa nguo za waziiiii kwenye maharusi waanche. huyu bibi harusi ni mfano mzuri sana wakuigwa.

  ReplyDelete
 17. Anonymous14:48

  Safi sana sporah.

  ReplyDelete
 18. Anonymous14:57

  MMH, Kaka ake amemdanganya lol, eti the only Muzungu in Tanzania?? NOOO we have many Muzungu'z in Tanzania.
  Sporah, I respect u girl.

  ReplyDelete
 19. Anonymous15:06

  Du hata mie hilo jambo la gauni la harusi ni kweli wabongo wamezidi kuvaa nguo zakutia aibu kwenye maharusi tena siku izi ma Bibi Harusi wanacheza ndomboloo mpaka chini! jamani siku ya harusi wakwe wako hapo, mababu, wazazi!!!! Kweli huu ni mfano wa kuigwa hasa sisi waigaji tujaribu kuvaa nguo za heshima kwenye maharusi.
  Uko juu sporah no dought.

  ReplyDelete
 20. Anonymous15:11

  Weldone Sporah Show

  ReplyDelete
 21. Anonymous15:12

  No way, all along i thought your Nigerian!
  SHIT....

  ReplyDelete
 22. Anonymous15:16

  Nakukubali my dada, uko juu.

  ReplyDelete
 23. Anonymous15:20

  Your my role model of all the time am sooo proud of you.

  ReplyDelete
 24. Anonymous15:25

  Sporah hizi nywele zinakupendeza na sinakufanya ulook your age, yale manywele mengine unawekaga yanakuzeeshaga kabisaaaa. Sasa ivi namuona kabisa binti wa Njau, na out of all you represent Africa, yale manywele mengine unawekaga kusema ukweli unakuaga kama mmama. Wakati wewe bado kabisaaa, Usikubali kuwa mtumwa wa fashion dadaangu. THIS IS YOU.

  ReplyDelete
 25. Anonymous15:31

  Nakubaliana na mdau hapo juu, dada sporah unasound very sexy ukiongea kiswahili, utafikiri unapiga zeze bwana, i wish ungefanya sporah show kwa kiswahili.

  ReplyDelete
 26. Anonymous15:34

  Sporah check your facebook msg plz

  ReplyDelete
 27. Anonymous15:38

  Welcome to the world sporah, nilizani hili linanikutaga mimi tu, yani sijawahi kujitambulisha kwa watu wakanielewa na kuelewa nchi yangu streight away! Ukisema East Africa the 1st thing is KENYA! Nadhani Tanzania ingeagalia vizuri ni njinsi gani yakuitangaza nchi yetu.
  Good show hun.

  ReplyDelete
 28. Anonymous15:40

  Tired of the royal wedding business.

  ReplyDelete
 29. Absolutely fantastic event -would't have missed it for anything if i was in Britain.

  ReplyDelete
 30. Anonymous16:10

  Daa! imetulia kweli huko mamtoni kweli kwell full kujiachia.

  ReplyDelete
 31. Anonymous16:12

  Your language sound sweet and very polite.

  ReplyDelete
 32. Anonymous16:14

  I wish ningekua rafiki yako, ata wa barua pepe tu.

  ReplyDelete
 33. Anonymous16:21

  Jamani hii minigeria wakati mwingine inakuaga very rude sasa we utasemaje nilifikiri wewe Ni mnigeria s.h.i.t, Hellooo, kwasababu ana TV show kwahiyo alitakiwa awe mnigeria, ningekujua wewe ungenikoma. Sporah kazi nzuri na Asante sana kwakupeperusha bendera ya TZ. Keep up the good work girl.

  ReplyDelete
 34. Anonymous16:42

  Bwana unatuzengua mbona mi sikukuona Church?

  ReplyDelete
 35. Anonymous17:25

  Hahhaha, Full Kiswanglish, i like this one. Uko juu sporah. Very Simple but....................

  ReplyDelete
 36. Anonymous17:47

  I din't understand much of your language but i enjoyed watching the beautiful sporah.

  ReplyDelete
 37. Anonymous18:47

  I looooove your background music, lov the song/great choice.

  ReplyDelete
 38. Anonymous02:38

  True watu wengi hawaijui TZ ila yote nikwasababu hatujawahi kumwaga damu, ila nadhani sasaivi huu ni wakati wetu kushine.

  ReplyDelete
 39. Anonymous08:14

  kazi nzuri sporah.

  ReplyDelete
 40. Anonymous09:56

  WACHAGA MPO JUU, YAANI......UKIONA SEHEMU AMBAYO MCHAGA HAYUPO KIMBIA UFE.....DADA SPORAH HONGERA SANA.

  ReplyDelete
 41. Anonymous10:17

  Uko juu Kileleni Sporah.

  ReplyDelete
 42. Anonymous12:54

  Great job sporah..

  ReplyDelete
 43. Anonymous12:59

  Nakubaliana na mdau hapo juu, Ukiona sehemu hakuna Mchaga kimbia uvunjike miguu
  ni kamavile Wanigeria, Ukiona sehemu hakuna Wanigeria au Wahindi kimbia ufe.Ila kwa watanzania pasipo na wachaga run mother F..ck run run!
  Unakubalika Sporah.

  ReplyDelete
 44. Anonymous13:59

  Nice show sporah ila yakurushwa star tv please naomba utoe hayo maguy jamani. mi nakaaga naangalia show yako nikiwa na babaangu na mamaangu na wadogozangu yani thats the last thing i want to see nikiwa na familia yangu. Show nzuri sana Sporah.

  ReplyDelete
 45. Anonymous17:13

  Big up ur self Sporah, a killa show

  ReplyDelete
 46. Anonymous17:14

  Big up ur self Sporah, a killa show

  ReplyDelete
 47. Anonymous17:26

  kwanini atoe hayo mambo ya maguy, simlitaka awaletee live sasa hii ndio hali halisi ya maisha ya uingereza, Sporah sioni sababu kabisa ya kutoa hizo part za maguy we tuonyeshe mambo halisi jinsi yalivokua huko.

  ReplyDelete
 48. Anonymous03:16

  Sporah kumbe ndio unakishep kizuri hivi!! MMH Wachaga nyieeeee. Love you mamito.

  ReplyDelete
 49. Anonymous14:18

  Video ya bongo star tv utoe hao maguy bwana.

  ReplyDelete
 50. Anonymous14:32

  Simple but Mwah!

  ReplyDelete
 51. Tanisha - Edmonton14:39

  Very well done...i see u rockin!!thumbs up Sporah!!!

  ReplyDelete
 52. Anonymous18:07

  This is very nice Sporah, you look beautiful, live, enegetic, strong, confident and ofcaurse very professional. Well done

  ReplyDelete
 53. Anonymous18:16

  Royal Wedding is over, we're now on Osama Bin Laden'....

  ReplyDelete
 54. Anonymous22:59

  True kilakitu is about Bin Laden lol... This world!!

  ReplyDelete