SPORAH REPRESENTING AT THE ROYAL WEDDING!

THE CROWD WAS SO PROUD!
PEOPLE CELEBRATING THE ROYAL WEDDING IN BRIDAL STYLE!
WE FOUND GUYS CELEBRATING THEIR WEDDING TOO!

18 comments:

 1. Anonymous21:10

  keep representing sister.

  ReplyDelete
 2. Anonymous21:12

  `Bongo utatuonyesha lini hii?

  ReplyDelete
 3. Anonymous21:19

  Nimependa jinsi ulivovaa simple sporah inaonekana kweli upo kazini!

  ReplyDelete
 4. Anonymous03:17

  Representing, Big up sporah

  ReplyDelete
 5. Anonymous04:23

  Nakuona hapa star tv Umeng'aaaaaaaa!

  ReplyDelete
 6. Anonymous04:30

  Star tv mamii nakuona umependezaaaaaaaaaaaaa, NYWELE hizi hapana chezea wewe lol!

  ReplyDelete
 7. Anonymous04:45

  We love you sporah.

  ReplyDelete
 8. Anonymous04:52

  YOU LOOK BEAUTIFUL THAN EVER
  kwakweli leo umetuwakilisha, hata ningekuona kwa MBALIIII ningejua tu yule mbongo mwenzangu, na hii ndio tunayoitaka. Leo sasa mtoto wangu anaweza akaangalia hizi picha akajua okay kumbe na mimi naweza kuwa kama Sporah Njau sikumoja! lakini vile unavyokuaga na mamakeup mengii, manywele kama mzungu, inakua ngumu sana vijana wetu kurelate na wewe. Leo nakupa 100000% Sporah umependeza sana na muhimu hasa umetuwakilisha. Endelea ivi ivi.

  ReplyDelete
 9. Nana05:46

  My idol of all the time sporah

  ReplyDelete
 10. Anonymous08:53

  Sporah your looking Cuter, Sexy, Young, Beautiful when you wear simple make up. This is very beautiful, A true African beauty. Please keep simple your very pretty with no makeup hun.

  ReplyDelete
 11. Anonymous09:05

  Sporah hili lilikua Ombi langu, sasa na Video iko wapi dada?

  ReplyDelete
 12. Anonymous10:14

  The beautiful sporah representing, loving it.

  ReplyDelete
 13. Anonymous11:12

  Video pls

  ReplyDelete
 14. Anonymous11:40

  huyo jamaa vipi hapo?

  ReplyDelete
 15. Anonymous11:43

  Hata mimi ningekua kwa mbalii ningekujua tu we mbongo tena mchaga, maana hilo KOMWE la kichaga kabisaaa. Sikutanii bwana sporah kusema ukweli umependeza, hasa hivo ulivo simple. Tunakukubali dada.

  ReplyDelete
 16. Anonymous12:01

  I love your look to sporah, very simple but MWAH.

  ReplyDelete
 17. Anonymous14:05

  I imagine we should all live off bread and water until all poverty is eradicated

  ReplyDelete
 18. Kweli kwenye hizi picha umetoka mbongo kapisaaaaaaaa, tena mchaga kapisa kapisaa.

  ReplyDelete