WAPENDWA WANGU!! NAWAKUMBUSHA TENA, DON'T MISS OUT THE SPORAH SHOW TODAY AT 18:00PM & TOMORROW 13:PM ON STAR TV IN TANZANIA.
Asanteni sana Wapendwa for your great suppot, naomba mnisamehe kwa kuchangaya Lugha! Natumia KISWANGLISH maana kuna fans wengi wa The Sporah Show ambao hawaelewi Kiswahili hivyo sipendi tuwaache nyuma sana! My apologise for inconvinience!
Kanumbaaaa, sikulaumu, huyo mtoto amekaa vibaya hata mimi angenipa mkono ningefanya hivyohivyo au zaidi. Nampenda sana huyu dada ina mchoyoo wa information zake. Usiibanie comment yangu Spora au Sophia.
pa1 dada, zote zote shwari, we komaa tu uko uingereza.
ReplyDeleteTunakukubali Sporah, we komaa tu dada kama alivokuambia mdau hapo juu.
ReplyDeleteSaw you on A13 today!
ReplyDeleteWor not mamy!
ReplyDeleteKanumbaaaa, sikulaumu, huyo mtoto amekaa vibaya hata mimi angenipa mkono ningefanya hivyohivyo au zaidi. Nampenda sana huyu dada ina mchoyoo wa information zake.
ReplyDeleteUsiibanie comment yangu Spora au Sophia.
Ze Kanumba lol!
ReplyDeleteSporah anaogopa kupendwa, tehe tehe.
ReplyDeleteKanumba unajitahidi sana Kaka, wewe ndio true star wetu. Uko juu Kaka.
ReplyDeleteTunajua show yako ni International sister hivo kuchanganya lugha ni muhimu!
ReplyDelete