Sporah jamani mbona STAR TV wanakua wanarudia rudia sana show zako???????? Mi nafuatilia sana show zako, naona Oline unaweka show mpya lakini Star TV wanatuwekea mashow ya zamani zamani yani wanauzi! mtu unakaa chini unaisubiria show kwa hamu, halafu unakutana na marudio ya last week, Wanauzi sana. Please naomba uongee nao. YOUR SHOW IS TOO GOOD, TOO EDUCATIVE TO BE RUNNING LIKE THAT. Your Biggest fan.
tuko pamoja dada
ReplyDeleteSporah jamani mbona STAR TV wanakua wanarudia rudia sana show zako???????? Mi nafuatilia sana show zako, naona Oline unaweka show mpya lakini Star TV wanatuwekea mashow ya zamani zamani yani wanauzi! mtu unakaa chini unaisubiria show kwa hamu, halafu unakutana na marudio ya last week, Wanauzi sana. Please naomba uongee nao. YOUR SHOW IS TOO GOOD, TOO EDUCATIVE TO BE RUNNING LIKE THAT.
ReplyDeleteYour Biggest fan.
Kesho mama sitakosa STAR TV, nataka nimuone Sporah akiwa GYM ha ha ha ha
ReplyDeleteunatakiea uamie TBC dada Sporah
ReplyDeleteAcheni kuchapia jamani! Lugha yenu inawashinda?? NYOKOO.
ReplyDelete