HASHIM LUNDENGA EXCLUSIVE INTERVIEW WITH SPORAH.

WATANZANIA WAKISEMA MISS TANZANIA HATUJAFANYA VIZURI MISS WORLD.!!
 "NAFIKIRI NIUONEVU"
The Sporah Show Meet The Founder of Miss Tanzania: Mr Hashim Lundenga.

We also managed to talk to Miss World 2011 Contestants Miss Thailand and Miss Uganda talking about their best experience of being part of the Miss World Competition.

36 comments:

 1. Anonymous06:10

  I have always asked the REAL purpose of some of these beauty pageants. We can be at it all day – it’s too easy.

  ReplyDelete
 2. Anonymous06:12

  miss Uganda was the only one that had the attention grabbing face that will make her go far.

  ReplyDelete
 3. Anonymous06:15

  TRANSPARENT MISS TANZANIA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  HAPO UMECHAMKA UNCLE HASHIM.

  ReplyDelete
 4. Anonymous07:31

  ndio maana nnakupenda sporah njau
  huyo Nancy 2005 hakufika popote ndio walewale tu, basi tu kwasababu yeye alifika mahali ambapo hakuna hata miss mmoja aliewahi kufika, Halafu ni ukweli kabisa miss tanzan ia SIO TRANSPARENT KABISAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA

  ReplyDelete
 5. Anonymous08:48

  Pedesheeeeeeeeeee
  sporah unamambo wewe.! i love you dada na karibu sana Tanzania

  ReplyDelete
 6. Anonymous13:18

  Muulize huyo Salha mwenyewe sporah acha kumbana Mr Ashim, hawa dada zetu wanamatatizo sana, wakishashinda miss tanzania wanapata kichwa wanasahau maana yake.
  Tatizo sio kwenye Miss Tanzania board, tatizo ni hawa kina dada.

  ReplyDelete
 7. Anonymous13:32

  Huyo nancy wanaemsema nae alikua mkia mkia wa kwanza kwahiyo kwa mimi naona bado safari ni ndefu san asana sana Uncle Hashin, ila Asante sana kwa kupeperusha bendera ya Tanzania. UKO JUU UNCLE

  ReplyDelete
 8. Anonymous13:50

  SPORAH SHOWWWWWWWWWW
  THE SPORAH SHOW SHINING LIGHT...!!
  Naupenda sana wimbo wako wa sporah show

  ReplyDelete
 9. Anonymous14:37

  tunataka mabadiliko kidogo kwenye miss tanzania, Mzee Hashimu hebu fanya mabadiliko kidogo labda mambo yataenda sawa

  ReplyDelete
 10. Anonymous15:17

  Mi nataka full interview nisikie Lundenga alisema vipi kuhusu hao mapedesheee maana ukweli ndio huo, hapo naona SPORAH ALIMKANYAGA KWENYE KIDONDA.
  UTUTANGAZIE DADA SPORAH SIKU HII SHOW INARUSHWA STAR TV.

  ReplyDelete
 11. Anonymous15:23

  we love watching you sporah, you rock

  ReplyDelete
 12. Anonymous15:35

  WHY USING YOUR LOCAL LANGUAGE SPORAH?????????????????????

  ReplyDelete
 13. Anonymous15:48

  KAZA MWENDO UNCLE HASHIMU TUTAFIKA TU, SAFARI NDIO KWANZA UMEANZA ACHANA NA WABABAISHAJI, MISS TANZANIA NI EVENT YA KIHISTORIA EAST AFRICA NZIMA, HAYO MAZURI HAWAYAONAGI. WOTE WAOSHA VINYWA HAO.
  WABONGO TUTAFIKA KWELI??? DU

  ReplyDelete
 14. James16:37

  I had spent almost 6 months in Tanzania (in Arusha); I loved the people, the nyamachoma, and life in general there. I wanted to stay longer, and I really wanted to speak Swahili.

  I was trying so hard! I was studying every day, I even tried expensive courses for a short time, and I was speaking it every chance I got; in the supermarket, at parties with strangers I met, after giving an English class to a child I tried conversing with the parents, etc.

  But I still couldn’t actually speak Swahili.

  ReplyDelete
 15. Anonymous17:06

  what language is that? sound great

  ReplyDelete
 16. Anonymous17:28

  tunataka kuona mabadiliko kwenye miss tanzania 2012 .

  ReplyDelete
 17. Anonymous00:23

  tehe tehe.! pedeshee... tehe tehe

  ReplyDelete
 18. Anonymous00:41

  Wanasema tu hivyo, mwakani watarudia madudu yale yale.

  ReplyDelete
 19. Anonymous01:07

  Hata Nancy sio kama alifika mbali ya kiivo, Uncle Hashim anamfagilia tu, hamna lolote.

  ReplyDelete
 20. Anonymous01:53

  i love you Sporah

  ReplyDelete
 21. Anonymous02:42

  Washiriki wengi wa Miss Tanzania ni wakina nanihii hivyo msimlaumu sana Lundenga, hao mabinti hao hao ndio mapasua kichwa.

  ReplyDelete
 22. Anonymous04:14

  Good Interview Sporah, nasubiria tu hapa star tv.

  ReplyDelete
 23. Anonymous04:21

  ENGLISH PLEASEEEEEEEEEEEEEE

  ReplyDelete
 24. Anonymous04:36

  mtamaliza maneno yooote, mpaka midomo itawakauka lkn, Lundenga hatobadilika ng'oooo, mwakani itakua da sym stry.

  ReplyDelete
 25. Anonymous04:47

  Foundation ya Miss Tanzania ndio mbaya, ili kufanya vizuri miss world panatakiwa kuwa na mabadiliko kidogo hasa upande wa ma organisers.
  good interview sporah, keep it up.

  ReplyDelete
 26. Anonymous05:24

  Uncle hashim jamani hajabadilika yani yuko vilevile du.

  ReplyDelete
 27. Anonymous05:51

  Huyo nae annyms hapo juu vipi//!!
  eti ENGLISH PLSEE mavi yake hajui kama hii ni lugha yetu.
  TUMBAVU

  ReplyDelete
 28. Anonymous06:14

  Mi wala sioni hata umuhimu wowote wa Miss Tanzania, bora waitoe tu.
  waone wakina Wema Sepetu wamekua vichaa kabisaa kasoro tu kuvua nguo huko barabarani, mi naona kwanza MISS TANZANIA ni upotofu mkubwa sana wa jamii. MWANAMKE KUPAREDI NA KICHUPI???????

  ReplyDelete
 29. Anonymous08:11

  Asante sana sporah kwa kugusa visivyoguswa, ni mengi mno watu wangependa kujua kuhusu miss tanzania haswa vigezo vya hao mabinti wetu lakini wanaficha utadhani ni nanihii.
  Naisubiria hii interview star tv kwa hamu sana

  ReplyDelete
 30. Anonymous08:42

  Wengi wenu maiponda Miss Tanzania kwasabu imeshindikana kuwa part of the team, acheni longolongo miss tanzania ni moja ya mashindano makubwa na yakimataifa tanzania, na Yanasaidia sana kuitangaza nchi yetu. HEBU ACHENI UJINGA NA MSIWE WAVIVU WA KUFIKIRIA.

  ReplyDelete
 31. Anonymous18:10

  MISS TANZANIA MKO JUU

  ReplyDelete
 32. Anonymous00:49

  ENGLISH ENGLISH PLEASE GUYS.
  SPORAH THIS NO NO NO.!

  ReplyDelete
 33. Anonymous02:18

  Tatizo liko kwa dada zetu na sio Lundenga,
  Hashimu hawezi kuwashikia fimbo awachape, wengi wao wanaoenda kwenye miss tanzania unakuta wameshakubuu au wengine shule zimeshawashinda, au wameshindikana hata na wazazi wao, hivyo Hashim hawawezi jamani acheni kumlaumu, tatizo ni hao mabinti wetu.

  ReplyDelete
 34. Anonymous06:03

  Muacheni Baba watoto wangu.

  ReplyDelete
 35. Anonymous16:53

  Miss tanzania ni event inayoongoza tanzania kwa kujaa na ni the most expensive EVER..! sporah unatakiwa uje tanzania ujionee mwenyewe. napenda sana show yako Dada.

  ReplyDelete
 36. Anonymous18:11

  Mapedeshee wapo sana asiwazingue LOL

  ReplyDelete