SPORAH TALKING TO ATHLETES REPRESENTING TANZANIA IN LONDON 2012 OLYMPICS (Here's What They Had To Say)
Olympic game, is another chance to express the spirit of sports, a spirit that does know ethnicity, poverty, riches, human race, human color, culture, traditions, languages or religion. Olympic Games gives us the chance to celebrate our shared humanity and human spirit regardless of race or culture.

Samsom Ramadhani competes in ATHLETICS Men's Marathon at London 2012 Olympics.Magdalena Moshi, Competes in SWIMMING Women's 100m Freestyle at London 2012 Olympics.


Mohamed Msenduki Ikoko, Competes In Athletics Men's Marathon At London Olympics 2012

Selemani Kidunda Competes in BOXING Men's Welterweight (69kg) at London 2012 Olympics.


Here's What Selemani Had To Say

Zakia Mrisho Mohamed competes in ATHLETICS Women's 5000m at London 2012 Olympics

Faustine Mussa Competes in ATHLETICS Men's MarathonAt The 2012 Olympic 
Games.

Kamati Ya Olympic Tanzania 
This time The Sporah Show Team traveled from London to Bedford College rasmi kukutana na viongozi wa Tanzania Olympic team 2012,
Mr Hassan Jarufu, Charles Nyange, Mr Zacharia Gwandu and Sheha Mohamed Ali.

We Wish All The Athletes Of The 2012 London Olympic Games The Very Best Of Luck. 

21 comments:

 1. Anonymous23:51

  Napenda sana style yako ya ku present, very simple yet soo real.

  ReplyDelete
 2. Anonymous23:59

  Ha ha ha, huyo wakuchunga ng'ombe mjanja anakunyemelea nyemelea tu. huyo nimemshtukia.
  Ila napenda jinsi unavyofloor na show yako.
  I love you sporah na karibu sana Bongo.

  ReplyDelete
 3. Anonymous00:22

  Mtakoma, wamewaleteni huku mapema ili wale hela za serikani, Poleni.
  Halafu ivi jamani mlikosa kabisa nguo za kuvaaaaa??? bora hata mngevaa kimasai. yani mavazi yenu sijayapenda kabisaaaaaaaaaaaaaa.

  ReplyDelete
 4. Anonymous00:46

  Watalii wetu uingereza, timu ina viongozi wengi kuliko wachezaji.

  ReplyDelete
 5. Anonymous03:06

  Hakupeleka team wamepeleka SAMPLE!!

  ReplyDelete
 6. Anonymous05:33

  na pia peke yao (Tanzania) ndio walivaa suti nchi ngingine zoooote walivaa mavazi yao ya kitaifa...
  AIBU TUPU

  ReplyDelete
 7. Anonymous05:36

  YES viongozi wanatakiwa kujibu hilo swali kwanini wamewaleta huku mapema? kama wachezaji wengependa kuwa Tanzania mpaka last minute na hasa kama ni vizuri kwa mazoezi yao????
  NAOMBA UTAFUTE INTAVYUU NA HAO VIONGOZI ILI WAJIBU HAYA MASWALI.

  ReplyDelete
 8. Anonymous05:49

  Ni wamekuja tu lakini hawana malengo yoyote. SHAME TZ

  ReplyDelete
 9. Anonymous06:02

  wachezaji wachache kuliko viongozi????

  ReplyDelete
 10. Anonymous07:46

  WAbongo mnapenda sana sana kulalamika.
  HAMJENGI CHOCHOTE, KAZI YENU NI KUBOMOA TU, MCHWIIIIIIIIIIIIIIIIII

  ReplyDelete
 11. Anonymous07:48

  kwakweli nilifurah kuiona bendera yetu ikipepea lakini wangevaa mavazi ya asili ingependeza vizuri zaidi.

  ReplyDelete
 12. Anonymous07:52

  kwanini tu usiwage unafanya show ya kiswahili dada Sporah???????

  ReplyDelete
 13. Anonymous08:03

  Sporah napenda unavyopresent, kama unachat tu narafiki yako, sio kupaniaaaaa.
  i love you for that.

  ReplyDelete
 14. Anonymous08:57

  Tuwaombee watuletee Gold Medal.

  ReplyDelete
 15. Anonymous13:44

  Lami inaumiza miguuuuuuuuuuu..!!!
  WABONGO BWANA.

  ReplyDelete
 16. Anonymous14:34

  i love you sporah

  ReplyDelete
 17. Anonymous18:00

  KISWAHILI CHA MAGDALENA ...! SOOOOOOOOOOOOOO SEXXXXXXYYYYYYYY

  ReplyDelete
 18. Anonymous18:01

  ha ha Sporah, umetoa kichaga chako wooooooooooooooooo
  ETI SHIMBONY MAE.
  Love you sporah

  ReplyDelete
 19. YANI HAKUNA WATU WALIONIUZI KAMA HAO ..HEBU WAONE HAPA MA MASUTI YAO ,,UTADHANI WANAKWENDA KUMCHAGUA KIONGOZI WA CCM NA KUCHOMA NYAMA....KUDADADEKI ..YANI MY DEAR .SIJUI WEWE WAJISIKIAJE UNAPOONGEA NA WANAMICHEZO HAO ALAFU HUWAULIZI ..VIP VIONGOZI WENU AU NISEME WASIMAMIZI WAO WAMEJIANDAA VIPI ..NA JE TUNAWEZAKUONGEA NAO WATUAMBIE WAPI WAMEFIKIA NA KAMA WANAHITAJI WASINDIKIZAJI WA BENDERA YETU ..WENGINE HUKU KAMA MIE NAVYOIPENDA NCHI YANGU TUNGEJITOLEA KUWACHONESHEA HATA VIJIMAVAAZI VYA BENDERA YETU YA TANZANIA VJANA WETU WADOGO AU NISEME WASICHANA NA VIJANA FROM HATA 15/20 YANI HAPA PANGEFAA PAONEKANE UMATI WA WATANZANIA KIMCHANGANYIKO NA KIVAAZI BORA CHA MTANZANIA ..HATA TRACKSUIT ZENYE RANGI YA TANZANIA" NA VILE VILE KUZIUZA,MIE NILITAFUTA SANA NIZIVAE JUZI KWENYE PARTY NILOALIKWA YA KUFUNGUA OLYMPIC NIKAKOSAJE"..NA JAMANI WALITUAIBISHAJE ..HADI NILITAMANI KUVUNJA TV YA WAZUNGU ..MBUTA NANGA" AND ONE MORE THING ....I DO THINK WANGEITANGAZA TANZANIA ..KAMA (KILIMANJARO TANZANIA)HIVYO TUTATAMBULIKA KIPOSH NA KIKWETU ZAIDI..

  ReplyDelete
  Replies
  1. Anonymous19:49

   Nakubaliana na wewe 1000% Mt Kilimanjaro ni selling point ya Tanzania, sijui walitokana wapi na suti kama..........

   Delete
 20. Anonymous08:07

  Yani kweli ni aibu......wanawake chacha wanacheza sports...na pia manager zote ni wazungu.....wapi ni haki ya wanawake? Bongo umka!

  ReplyDelete