Olympic game, is another chance to express the spirit of sports, a spirit that does know ethnicity, poverty, riches, human race, human color, culture, traditions, languages or religion. Olympic Games gives us the chance to celebrate our shared humanity and human spirit regardless of race or culture.
Samsom Ramadhani competes in ATHLETICS Men's Marathon at London 2012 Olympics.
Magdalena Moshi, Competes in SWIMMING Women's 100m Freestyle at London 2012 Olympics.
Mohamed Msenduki Ikoko, Competes In Athletics Men's Marathon At London Olympics 2012
Selemani Kidunda Competes in BOXING Men's Welterweight (69kg) at London 2012 Olympics.
Here's What Selemani Had To Say
Zakia Mrisho Mohamed competes in ATHLETICS Women's 5000m at London 2012 Olympics
Faustine Mussa Competes in ATHLETICS Men's MarathonAt The 2012 Olympic
Games.
Mr Hassan Jarufu, Charles Nyange, Mr Zacharia Gwandu and Sheha Mohamed Ali.

We Wish All The Athletes Of The 2012 London Olympic Games The Very Best Of Luck.
Napenda sana style yako ya ku present, very simple yet soo real.
ReplyDeleteHa ha ha, huyo wakuchunga ng'ombe mjanja anakunyemelea nyemelea tu. huyo nimemshtukia.
ReplyDeleteIla napenda jinsi unavyofloor na show yako.
I love you sporah na karibu sana Bongo.
Mtakoma, wamewaleteni huku mapema ili wale hela za serikani, Poleni.
ReplyDeleteHalafu ivi jamani mlikosa kabisa nguo za kuvaaaaa??? bora hata mngevaa kimasai. yani mavazi yenu sijayapenda kabisaaaaaaaaaaaaaa.
Watalii wetu uingereza, timu ina viongozi wengi kuliko wachezaji.
ReplyDeleteHakupeleka team wamepeleka SAMPLE!!
ReplyDeletena pia peke yao (Tanzania) ndio walivaa suti nchi ngingine zoooote walivaa mavazi yao ya kitaifa...
ReplyDeleteAIBU TUPU
YES viongozi wanatakiwa kujibu hilo swali kwanini wamewaleta huku mapema? kama wachezaji wengependa kuwa Tanzania mpaka last minute na hasa kama ni vizuri kwa mazoezi yao????
ReplyDeleteNAOMBA UTAFUTE INTAVYUU NA HAO VIONGOZI ILI WAJIBU HAYA MASWALI.
Ni wamekuja tu lakini hawana malengo yoyote. SHAME TZ
ReplyDeletewachezaji wachache kuliko viongozi????
ReplyDeleteWAbongo mnapenda sana sana kulalamika.
ReplyDeleteHAMJENGI CHOCHOTE, KAZI YENU NI KUBOMOA TU, MCHWIIIIIIIIIIIIIIIIII
kwakweli nilifurah kuiona bendera yetu ikipepea lakini wangevaa mavazi ya asili ingependeza vizuri zaidi.
ReplyDeletekwanini tu usiwage unafanya show ya kiswahili dada Sporah???????
ReplyDeleteSporah napenda unavyopresent, kama unachat tu narafiki yako, sio kupaniaaaaa.
ReplyDeletei love you for that.
Tuwaombee watuletee Gold Medal.
ReplyDeleteLami inaumiza miguuuuuuuuuuu..!!!
ReplyDeleteWABONGO BWANA.
i love you sporah
ReplyDeleteKISWAHILI CHA MAGDALENA ...! SOOOOOOOOOOOOOO SEXXXXXXYYYYYYYY
ReplyDeleteha ha Sporah, umetoa kichaga chako wooooooooooooooooo
ReplyDeleteETI SHIMBONY MAE.
Love you sporah
YANI HAKUNA WATU WALIONIUZI KAMA HAO ..HEBU WAONE HAPA MA MASUTI YAO ,,UTADHANI WANAKWENDA KUMCHAGUA KIONGOZI WA CCM NA KUCHOMA NYAMA....KUDADADEKI ..YANI MY DEAR .SIJUI WEWE WAJISIKIAJE UNAPOONGEA NA WANAMICHEZO HAO ALAFU HUWAULIZI ..VIP VIONGOZI WENU AU NISEME WASIMAMIZI WAO WAMEJIANDAA VIPI ..NA JE TUNAWEZAKUONGEA NAO WATUAMBIE WAPI WAMEFIKIA NA KAMA WANAHITAJI WASINDIKIZAJI WA BENDERA YETU ..WENGINE HUKU KAMA MIE NAVYOIPENDA NCHI YANGU TUNGEJITOLEA KUWACHONESHEA HATA VIJIMAVAAZI VYA BENDERA YETU YA TANZANIA VJANA WETU WADOGO AU NISEME WASICHANA NA VIJANA FROM HATA 15/20 YANI HAPA PANGEFAA PAONEKANE UMATI WA WATANZANIA KIMCHANGANYIKO NA KIVAAZI BORA CHA MTANZANIA ..HATA TRACKSUIT ZENYE RANGI YA TANZANIA" NA VILE VILE KUZIUZA,MIE NILITAFUTA SANA NIZIVAE JUZI KWENYE PARTY NILOALIKWA YA KUFUNGUA OLYMPIC NIKAKOSAJE"..NA JAMANI WALITUAIBISHAJE ..HADI NILITAMANI KUVUNJA TV YA WAZUNGU ..MBUTA NANGA" AND ONE MORE THING ....I DO THINK WANGEITANGAZA TANZANIA ..KAMA (KILIMANJARO TANZANIA)HIVYO TUTATAMBULIKA KIPOSH NA KIKWETU ZAIDI..
ReplyDeleteNakubaliana na wewe 1000% Mt Kilimanjaro ni selling point ya Tanzania, sijui walitokana wapi na suti kama..........
DeleteYani kweli ni aibu......wanawake chacha wanacheza sports...na pia manager zote ni wazungu.....wapi ni haki ya wanawake? Bongo umka!
ReplyDelete