MWANAMKE HATAKIWI KUJILIPIA MAHITAJI YAKE, ILI UMTOE UDHAIFU, VINGINEVYO UTANYANGANYWA ( AT aka Mfalme wa Mduara afunguka VIBAYA ndani ya The Sporah Show HotCorner)THEN LIVE PERFORMANCE..!


THE SPORAH SHOW - Shining Light.

13 comments:

 1. Anonymous07:16

  Divalish look Sporah, beautiful

  ReplyDelete
 2. Anonymous07:28

  Nice show

  ReplyDelete
 3. Anonymous07:45

  MH!

  ReplyDelete
 4. Anonymous09:32

  Sporah, kwanini hutaki kuja TZ? trust me you will be very FAR darling, think abt that.

  ReplyDelete
 5. Anonymous19:09

  Eti wanawake wasifanye kazi?????????? Mambo ya Zanzibar hayo asiyuletee kabisaa.
  Sporah wewe unatangaza/represent Independent women, huu ni upuuzi na ndio maana wakina dada wengi bongo ni ma-gold digger

  ReplyDelete
 6. Anonymous19:54

  mbona amelamba kikombe? aibu kha!

  ReplyDelete
 7. Anonymous20:14

  sporah kwanini hukukata hiyo sehemu anayplamba kikombe jamani, hii si aibu hii jamani.

  ReplyDelete
 8. Anonymous20:45

  Atasubi ampate huyo manager mpaka achoke.

  ReplyDelete
 9. Anonymous22:35

  Mh sporah kishep kizuri

  ReplyDelete
 10. Anonymous22:47

  HOt CHic anajua kucheza vizuri.

  ReplyDelete
 11. Anonymous22:54

  Ray C keshapona Sporah, ungempata nae umuhoji, ingekua poa sana.

  ReplyDelete
 12. Anonymous13:17

  sporah kashepu kazuri natamani kuwa mwembamba..tunakupenda sana. that Rachel ni mtanzania kweli au...yaan amekaa kiwest sana ..yuko hot kwa kweli ngoja mapedeshee waanze kumjua na hivi kasema anapenda pesa.. huyo mganda amependezesha na kiswahili chake. tunapenda sana sporah show

  ReplyDelete
 13. Anonymous14:37

  Beautiful language, nice show i love the concept, WHY not English translation???

  ReplyDelete