LEO NDANI YA STAR TV - OMMY DIMPOZ AND ALIKIBA LIKE YOU'VE NEVER SEEN THEM BEFORE

Ally Kiba and Ommy Dimpoz One on One with Sporah!
Ommy Dimpoz aongea kuhusu Single yake na Vanessa Dimpoz na uhusiano wake na TID
Ally Kiba afunguka vibaya kuhusu mahusiano yake na baby Mama wake wa Tanzania na wa UK.
And Many More!

On THE SPORAH HOT CORNER!

Tumeongelea..! 
1. Matokeo ya Kidato Cha Nne Tanzania!
2. Metrosexual - Wanaume Wanaojipenda kupita maelezo, Wanajipamba, make up, facial, Kioo 24/7 etc.
3. Wasanii wa Tanzania wengi hawakai kwenye mawasiliano ya kimapenzi kwa muda mrefu.


LEO JIONI
  6:00PM ON STAR TV - TANZANIA
 DSTV CHANNEL 291 - AFRICA
AND EVERY FRIDAY 6:PM AND SATURDAY AT 1:00PM EAST AFRICA TIME 
( EAT)

IT'S A SHOW NOT TO BE MISSED.

HAIR BY............... VANITY LOCKS
HAIR EXTENSIONS - 100% PERUVIAN HUMAN HAIR.


MAKE UP BY........ KAREN SALANDY 

7 comments:

 1. Anonymous02:13

  aww hii siwezi kosa, naishi Mombasa na ninapenda sana show yako, uko kimataifa, keep it up sporah.

  ReplyDelete
 2. Anonymous03:08

  Da Sporah nakupendajeeeee sasa, namatumaini siku moja nitakuona LIVE. karibu sana Morogoro, jiji kasoro bahari.

  ReplyDelete
 3. Anonymous03:13

  CONDOM CONDOM CONDOM CONDOM CONDOM ha ha ha ha napenda sana ile Interview yako na Ally Kiba, natumaini hii itakua nzuri zaidi ya ile.
  Siwezi kukosa huiangalia hii, tuko pamoja sana tu sporah.

  ReplyDelete
 4. Anonymous03:15

  2po pa1.

  ReplyDelete
 5. Anonymous04:06

  I love you sporah.

  ReplyDelete
 6. Anonymous04:41

  Metrosexual + Metrosexual = Gay

  ReplyDelete
 7. Anonymous16:28

  mm nataka nimsikie huyo king wa bongo fleva ali kiba

  ReplyDelete