Ally Kiba and Ommy Dimpoz One on One with Sporah!
Ommy Dimpoz aongea kuhusu Single yake na Vanessa Dimpoz na uhusiano wake na TID
Ally Kiba afunguka vibaya kuhusu mahusiano yake na baby Mama wake wa Tanzania na wa UK.
And Many More!
On THE SPORAH HOT CORNER!
Tumeongelea..!
1. Matokeo ya Kidato Cha Nne Tanzania!
2. Metrosexual - Wanaume Wanaojipenda kupita maelezo, Wanajipamba, make up, facial, Kioo 24/7 etc.
3. Wasanii wa Tanzania wengi hawakai kwenye mawasiliano ya kimapenzi kwa muda mrefu.
6:00PM ON STAR TV - TANZANIA
DSTV CHANNEL 291 - AFRICA
AND EVERY FRIDAY 6:PM AND SATURDAY AT 1:00PM EAST AFRICA TIME
( EAT)
IT'S A SHOW NOT TO BE MISSED.
HAIR BY............... VANITY LOCKS
aww hii siwezi kosa, naishi Mombasa na ninapenda sana show yako, uko kimataifa, keep it up sporah.
ReplyDeleteDa Sporah nakupendajeeeee sasa, namatumaini siku moja nitakuona LIVE. karibu sana Morogoro, jiji kasoro bahari.
ReplyDeleteCONDOM CONDOM CONDOM CONDOM CONDOM ha ha ha ha napenda sana ile Interview yako na Ally Kiba, natumaini hii itakua nzuri zaidi ya ile.
ReplyDeleteSiwezi kukosa huiangalia hii, tuko pamoja sana tu sporah.
2po pa1.
ReplyDeleteI love you sporah.
ReplyDeleteMetrosexual + Metrosexual = Gay
ReplyDeletemm nataka nimsikie huyo king wa bongo fleva ali kiba
ReplyDelete