GREEN ROOM... Wasafiiiiii
Wasafiii halafu wanamisifaaaaa and very talented.
DIAMOND CREW WALKING INTO THE SPORAH SHOW STUDIO


GETTING TO THE MAKEUP DEPARTMENT READY FOR THE MAKEUP
Team sporah wellcoming Nasib Abdul a.k.a Diamond platnumz at the makeup department
Nasib Abdul mwenyewe!
SIGNING RELEASE FORM
READY FOR THE MAKEUP
THERE WE GOOO!!!!


Hapo jeeeee?????
MSAFIIIII.....


Ready to roll..!
FULL INTERVIEW COMING SOON ON
THE SPORAH SHOW!
STAY TUNED.
MAKE UP BY........KAREN SALANDY
Uwiiiiii, naisubiria hii interview kwa hamu, utazani nnamkojo ulionibanaaa unataka kutoka.
ReplyDeletei hope diamond hajamshika shika sporah, walahi nitamuua.
ReplyDeleteHana usafi wowote huyu diamond mcafuzi wa dada zetu hapa mjini, wapi dada sporah? huyo Diamond mchawi asije akamgusa sporah kesho tukaanza kumsoma sporah kwenye magazeti yote mjini anampigania Diamond, Fremanson huyo jamaa, ni noma.
ReplyDeleteDu kweli wasiiiiiiiiiiiiiiiiii, wivu acheni jamani Diamond anatisha sifa zake mpeni lol!
ReplyDeleteI love you Diamond Plutnumz
Keep it up Diamond.Do ya thing en go back at home! Well done
ReplyDeleteMimi Na mpenda Sana diamond ata kama watu wana zidi kumusema vimbaya akuna aliye kamilika apa chini ya juwa.
ReplyDelete