DIAMOND AONGELEA SABABU YA KUMREKODI WEMA SEPETU - The Whole Truth, Everything You Wanted To Know.

Diamond Platnums one on one with Sporah.

OMG..! Diamond Opens Up Like I've Never Seen On The Sporah Show.

Diamond and the Crew are so fun to be around. also he is someone who is like EXTREMELY proud ... Just an all-around, good, down-to-earth, beautiful person.

DIAMOND PLATNUMZ LIVE ON THE SPORAH SHOW

Diamond Platnumz performing  "Ukimuona" LIVE on The Sporah Show after one on one Interview with SporahDiamond Platnumz performing "NATAKA KULEWA" live on The Sporah Show

20 comments:

 1. Anonymous01:32

  Oooh you made my day sporah, my No one show of all th etime.
  NAKUPENDAJEEEEEEEEEEEEEEEE

  ReplyDelete
 2. Anonymous01:42

  TANZANIA BILA UKIMWI!!!!!!!!!!!!
  Yani wasichana wa mjini DUUUUH

  ReplyDelete
 3. Anonymous01:51

  Wema anatafuta jinsi yakuficha mabuzi yake, hana mapenzi kwa Diamond wala nini, na anapenda sana FAME na ndio maana anapiga picha za uchi etc ili tu kuwa kwenye magazeti na mablog. Ila pia Diamond anapenda sana saaaana FAME, kwahiyo wote ni malimbukeni wa FAME.
  Nawaonea huruma sana maana Bongo Ukimwi nnje nnje. POLENI vijana.
  Nice show Sporah, WELL DONE.

  ReplyDelete
 4. Anonymous01:55

  Mambo ya MUJINI haya sporah, kuwa na wanaume wengi ndio DILI.

  ReplyDelete
 5. Anonymous02:15

  napenda kama Diamond angerudiana na Wema Sepetu, i just love two of them.

  ReplyDelete
 6. Anonymous03:46

  Hakuna mwanaume mwenye akili timamu anaeweza kutembea na wema sepetu na hakuna mwanamke mwenye akili timamu anaeweza kutembea na diamond, kwahiyo....................... napenda sana show yako dada.

  ReplyDelete
 7. Anonymous03:53

  fanya kazi Diamond, achana na vicheche, kipaji umejaliwa mshukuru Mungu.

  ReplyDelete
 8. Anonymous04:08

  Pole Diamond, achana na Wema Sepetu kinganganizi, Unakazi yako inakuingizia hela mshukuru Mungu, Wema anakaa mjini hana kipato chochote ana Kampuni Feki haingizi hela yoyote hana lolote, MAGINJWA TU.
  Achana na wasichna wa mjini, hata huyo Penn simuamini anaweza kuwa kama Wema sepetu, ungeachana tu na hao wasichana wa mjini, tafuta msichana mstaarabu na eliesoma, Kina WEMA SEPETU TUPILIA MBALI.

  ReplyDelete
 9. Anonymous05:14

  Napenda sana style yako ya interview sporah, so real.

  ReplyDelete
 10. Anonymous07:41

  Wote ma Player, Diamond na Wema Sepetu. UOZO MTUPU, hakuna mwenye good, bright future unfortunately.

  ReplyDelete
 11. Anonymous09:47

  Napenda sana unavyoongea Sporah, natamani kuwa kama wewe sikumoja, you'r my Inspirational.

  ReplyDelete
 12. Anonymous12:34

  Wachafu wote, no class, no education, full of stupid FAME, Tena tanzania' Fame Jamani!
  Wema nakuonea huruma utakua wapi miaka 10 inayokuja, pole sana dada.

  ReplyDelete
 13. Anonymous13:38

  Yani mi namshangaa sana wema, anamngangania huyu mshaba wa nini! mbona ni msichana mzuri sana tu?

  ReplyDelete
 14. Anonymous15:33

  Nice interview, nakupenda sana sporah

  ReplyDelete
 15. Anonymous17:01

  Mungu akuzidishie Diamond, we love you sana.

  ReplyDelete
 16. Anonymous07:08

  simpendi Diamond kwanza mshamba sana ..Penny nae Kicheche tu full drama

  ReplyDelete
 17. Anonymous22:31

  Najua kuwa Sporah aliwahi kusema huko nyuma kuwa anampenda sana Diamond, na hivyo sishangai kuona kwa maswali mengi aliyapanga kumsaidia Diamond. Kwa mfano alimwacha Diamondn akakwepa swali la kuhusu Uwoya. Iweje adai alikwenda hotelini hapo kwenye kikao na wasanii wengine pamoja na mchumba wake wakati mchumba huyo aliwahi kukiri kumsamehe Diamond huyo kwa tukio, na vile vile wasanii wenzake Uwoya wakamsema hadharani kuwa yeye ni sikio la kufa? Kama kweli walikuwa na kikao, je kikao hicho kilikuwa cha wao wawili tu tena chumbani usiku mzima kuanzia saa mbili usiku hadi saa tatu asubuhi, na yeye ndiye akiwa ameelipia chumba hicho wakati amevaa viatu vya Uwoya bila shati? Iwapo yeye alimwacha Wema kwa sababu aligundua kuwa alikuwa na bwana mwingine, ni nini kilichokuwa kinaendelea kichwani mwake kutembea na mke wa mtu, huku akijua kuwa mme wa Uwoya akigundua hivyo naye ataweza kumwacha na hivyo kuvunja ndoa hiyo? Je hakuthamini angalau future ya mtoto wa wanandoa hao iwapo tamaa zake binafsi zitafanya ndoa hiyo ivunjike? Je alishwahi kumwomba samahani Ndikumana kuhusu tendo lake hilo?

  ReplyDelete
 18. Anonymous04:41

  POA SPORAH WEWE UNAMUDU VYEMA KAZI YAKO HIO.
  HAO WOTE KWANGU NI WAPENDA WANAWAKE NA WAPENDA WANAUME. SI DIAMOND WALA TANZANITE WADADA NA WAKAKA WA MJINI HATARI TUPU. WOTE WANAISHI MJINI NA VIJIMAMBO VYA MJINI.

  ASIE WA MJINI HANA HAMU NA WATU HAO KABISAAA

  POLENI WA MJINI.

  ReplyDelete
 19. Anonymous03:33

  Nakupenda sana Sporah, ila umeniudhiiiiii kuja TZ na hukufanya meeting au conference na fans wako, i think hilo ni kosa. Kuna vijana wengi wa masecondary na vyuoni ambao wangependa sana kufuata nyayo zako.
  Haya nimekusamehe sasa na usirudie tena, siku nyingine ukija Tanzania jaribu kukutana na fans wako, wewe ni kioo kikubwa sana cha jamii. Mi napita tu dada.

  ReplyDelete
 20. Diamond platnumz anatisha si mchezo

  ReplyDelete