DIAMOND PLATNUMZ ONE ON ONE WITH SPORAH - The Whole Truth, Everything You Wanted To Know.

On The Sporah Show today we are privileged to have one of the biggest Tanzanian Artist if not East Africa,  "DIAMOND PLATNUMZ".

Come hereeeeeeeeeeee! at last your here the waiting was to longgggggg.


FINALLY DIAMOND AND SPORAH SIT DOWN FOR A CHAT.
It was a moment that resonated to my core,! I Asked DIAMOND All The Questions I Always Wanted To Know.

Why did you record your X-Girlfriend "WEMA SEPETU" and send the voice clip to the media?
Mmmmmmmmmm!

OMG..! Diamond Opens Up Like I've Never Seen On The Sporah Show.
Hihihi he is trying to convice me.!

Also, "Why do you like to date friends of your Ex? 
(Wema--Jokate--Penny-- Irene!!)
Duuu! where should i start?

He Talks About EVERYTHING, His relationship with Movie STAR Irene Owoya and how he started love affair with Jokate and why NOT Wema Sepetu.


I’m so happy that we get to talk about this.

He Opens Up About His New Love Life..!

Now i am in love, TRUE LOVE SPORAH.

One of the best conversation we ever had. I still have alot of questions from your lovely fans.

The Studio Was Getting Extremely Hot..! BUT We Could NOT STOP the Cameras..!
OK..!

Now Naseeb, am calling you by your real name here this is serious matter,
 Why Did You Go Out With Irene While You Knew That She Is Married?
O.M.G. Sporah! 

Goshhhhh!!.

Sometimes is not easy to be DIAMOND PLATNUMZ...Still have a lot of question, the conversation was so good it needed a part 2! 

NEXT, WE HAD WASAFII CREW, "DIAMOND'S DANCING GROUP" TO HEAR THEIR SIDE ABOUT DIAMOND AND MEDIA SCANDALS. 
WASAFIIIIIIIII! Karibuni sana.

I Only Have One Question For You, Why Do You Like To Take Off Your Clothes On Stage?
Mzuka Sporah! Hahaaaaaa.


We talked and talked and talked it was fun having these guys on stage.


Then We Made Jokes And Laugh, These Boys Are Crazy Trust Me I Had Fun.
Wasafiiiiiiiiiiii...!

THEN LIVE PERFORMANCE FROM WASAFII CREW "NATAKA KULEWA"
I Also Joined Them.!
Go Sporah, go Sporah.

It was fun, Loved it. 

Whoooooo! but not easy at all, good exercise  

RANDOM PICTURES AFTER THE SHOW
 1. Diamond and the Crew are so fun to be around. also he is someone who is like EXTREMELY proud ... Just an all-around, good, down-to-earth, beautiful person.

 Such An Amazing Team.
Diamond with his promota DJ Rule, Keep the fans updated (Social Network)

    
  I had a real LOL good time with Diamond and his Crew! IT NEEDED A PART 2! 

THANK YOU SO MUCH MR DIAMOND PLATNUMZ AND THE CREW WITHOUT FORGETTING DJ RULE BONGOUK  AND HIS TEAM BONGOUK TEAM.FULL INTERVIEW COMING SOON ON

 THE SPORAH SHOW! 

STAY TUNED.

MAKE UP BY........KAREN SALANDY

Hair by  MAGGIE Real Hair - 07404031642
We offer the highest quality virgin Hair (Strictly By Appointment)

29 comments:

 1. Anonymous10:18

  Sporah nakukubali sana dada.

  ReplyDelete
 2. Anonymous10:19

  Uwiiiiiiiiiii, kwanini Diamond amemshika my Sporah, WHY WHY WHY
  Mchwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

  ReplyDelete
 3. Anonymous10:24

  sporah we mzuriii

  ReplyDelete
 4. Anonymous10:29

  WACHAFUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU

  ReplyDelete
  Replies
  1. Anonymous00:40

   Wachafu? You are jelousyyyyyyyyyyyyyyyyy!!!!!!!!

   Delete
 5. Anonymous10:51

  Wema mzuri sana, diamond hawezi kupata msichana kama wema sepetu. NO WAY.

  ReplyDelete
 6. Anonymous11:02

  Napenda setting ya studio yako mama, very classic. May you achieve more success ahead. Congratulations on this success. You have made us all proud.

  ReplyDelete
 7. Anonymous11:53

  nice

  ReplyDelete
 8. Anonymous13:25

  Atampata wapi sporah huyo mjinga, hana lolote, hata kwa wema alibaatika tu.

  ReplyDelete
 9. Anonymous14:49

  Napenda sana unavovaa sporah, hasa viatu na nywele, ila naogopa kuuliza bei maana jaua mambo yako siyawezi.
  I love you so much dada and i hope to meet you one day.

  ReplyDelete
 10. Anonymous14:51

  My no 1 show.

  ReplyDelete
 11. Anonymous15:05

  Mnyonge mnyongeni lakini sifa yake mpeni, Diamond ni msanii mkubwa kuliko wooote Tanzania, anasifa na vigezo vyoote vya uSTAR, anakipaji na anajua kuentertain fans wake, na ndio maana Wakina dada wa mjini wooooooooote wanamng'ang'ania maana his future is very very bright. Kweli anavitabia vyake ambavyo sio vizuri lakini kila mwanadamu anamapungufu yake, nani ni msafi kati yetu????????? Then Why judging him???
  Kama sporah alivyoandika hapo juu, NIMEPENDA SANA
  "DIAMOND AND THE CREW ARE SO FUN TO BE AROUND. ALSO HE IS SOMEONE WHO IS LIKE EXTREMELY PROUD ... JUST AN ALL-AROUND, GOOD, DOWN-TO-EARTH, BEAUTIFUL PERSON" BY SPORAH
  YES, God bless Diamond, I love you and i will buy your music forever, no matter what, Na nitakuja kwenye show zako popote pale nitakapoweza. i love you diamond. MUNGU AKUZIDISHIE NEEMA.

  ReplyDelete
 12. Anonymous15:16

  kwanini usiamishie hii show Bongo? unavigezo vyoote vyakua the next oprah kama vile salama alivyonavigezo vyoote nyakua Hellen.
  Karibu Dar dada, utafunika vibaya.

  ReplyDelete
 13. Anonymous15:38

  Wapi huyo Diamond mchawi tu, kutwa kwa waganga.

  ReplyDelete
 14. Anonymous18:05

  Sasa kama Diamond akianza kumshika shika hivyo Sporah wangu mwisho wake utakuwaje. Huyu kijana ni wembe sana kwa hawa viumbe wa kike, na wala sina imani naye hasa kwa vile mkwanja wa kutimiza dhana yake anao.

  ReplyDelete
 15. Anonymous02:17

  Sporah as much as i love your show, sitomuangalia huyo nyang'au. kwanza kwanini anapenda kukumbatiakumbatia wasichana?? yani huyo mtu kanitoka na kanichafua zaidi alivyokuwekea mkono hapo kiunoni, mshenzi sana.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Anonymous00:09

   He he hee heeee! Jamani! Sporah. Huyu anayemchukia Diamond sababu kakuwekea mkono kiunoni kuna moja kati ya haya mawili. Ama ni mtoto wa kiume anakuzimia sana na nyota ya Diamond anaijua (sukari ya warembo anaweza kupenyeza popote) au ni mtoto wa kike anampenda Diamond so, hawezi kuvumilia kumwona kamshika mwanamke kiuono. @Diamond: usijali mziwanda wangu, wanaume wengi watajitahidi kukushusha (wanakuonea wivu) na wanawake wengi wanaokupenda lakini hawawezi kukupata watakupaka (sizitaki mbichi hizi). Hata Michael Jackson alichukiwa na wanaume hivyo hivyo sababu alikuwa kawazidi talent, mshiko na fame na alipendwa sana na wanawake kwakuwa hakuwa na mwanamke wa kudumu. Tatizo lako wewe kwa wadada wengi ni kwamba umemshikilia sana Wema. Wanatamani ungekuwa kicheche, wakupate angalau kwa siku mbili tu wajisifu walikuwa na Diamond au labda uwahonge n.k. Sasa mimi nakuomba jambo moja, fanya bidii yote utakayoweza, umrejeshe Wema ulingoni. You guys look good together, you love each other. Naamini you are soul mates. Mkitengana mtatesana sana. Hili la sasa ni wimbi tu. Rudianeni, you will become stronger in love..... Ushauri wa mama. Nakutakia heri. I love you so much Nasib

   Delete
 16. Anonymous02:30

  i love you sporah, your my role model.

  ReplyDelete
 17. Anonymous05:50

  SPORAH SPORAH SHIKAMOO DADA, LEO NAMAGOTI NIMEKUPIGIA MTOTO WA KICHAGA LOL.
  NIMEKUONA LEO PALE MILE-END TRAIN STATION UKO KWENYE GARI NYEKUNDU UMEFUNGUA RUFU MIWANI NYEUSI UMEVAA KIGAUNI CHEKUNDU, UNAENDESHA GARI AINA YA BENTLEY SPORT, JAMANI BENTLEY SPORT UWIIIIIIIIIII... MBONGO!! UINGEREZA!! JAMANI HONGERA. KUSEMA UKWELI MPAKA SASAIVI SIAMINI, MAMA UNATISHA. SHIKAMOO DADA (YA PILI HIYO)
  FUNNY PART ATA NIEONA WATU WENGI WANAKUSHANGAA SIO MIMI NA MKAKA MMOJA WA KIHINDI AKAWA ANAPIGA PICHA GARI ULIVYOSHUKA UKAINGIA DUKANI.
  NOW I LOVE YOU MOREEEEEE, UNATISHA SANA SAAAAANA DADA. RESPECT YOU.
  SHIKAMOO DADA SPORAH (YA TATU HIYO) WEWE UMEKAA VIBAYA AISEE NIMEKUVULIA KOFIA LEO, BENTLEY, HALAFU SIO KI-BENTYLEY, MAMBO YA BENTLEY SPORT, OPEN ROOF. SHIKAMOOOOOO DADA SPORAH - YANGAPI HIYOOOOOOOOOOOOO.
  NAJUA HUPENDI KUJISIFIA NA KU SHOW OFF, LAKINI NAKUOMBA HII COMMENT USINIBANIE MAANA WEWE NIMFANO MKUBWA SANA WAKUIGWA, KWELI WENYE NAZO HAWAONGEAGI. NAKUPENDAJEEEEEEEE

  ReplyDelete
 18. Anonymous13:38

  Diamond mjinga sana, hana mpya.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Anonymous07:07

   Can yuu pruvu yua argument au unaropoka 2

   Delete
  2. Anonymous23:57

   Diamond mjinga hana jipya? Hebu tupe mfano wa ujinga wake na mfano wa werevu wako na kitu gani alitakiwa kufanya asiwe mjinga.

   Delete
 19. Anonymous03:41

  Mti wenye matunda ndio unaopigwaga mawe, muacheni Diamond jamani Khah.

  ReplyDelete
 20. Anonymous04:38

  Aka Wasafi myama mkali kama huna fitna mpongeze mwenzio sasa jamani unakanda yeye anapanda tu utaishiya wapi Diamond plutnumz uko juu wanaokubaniya watakufa kwa presha

  ReplyDelete
 21. Anonymous02:45

  Kila mtu anamapungufu yake, Diamond yupo juu sidhani kuwa ni waganga ile kipaji anacho 90% na ni mbunifu, kila wimbo anaoutoa unavutia,unavionjo, hauchuji!!!! ... mnyonge mnyongeni haki yake mpeni!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

  ReplyDelete
 22. Anonymous03:35

  Keep itup diamond! !

  ReplyDelete
 23. Anonymous07:16

  Mweye mnaka mkisema diamond Nanyiye si mfanye kama yeye anakavo jituma mpaka kafika apo alipo fika mwenzenu mwacheni mwana wawatu"si hirizi si mizizi bali ni bahati yake tuu" mtakufa nacho kiziba cha roho na kwani hakuna mwanamke mzuri tanzania nzima isipokuwa "wema "uzuri wa mwanamke siyo sura na skendo kila kukicha magazetini uzuri ni wa "Penny"katuliya kama maji mtungini hatu jawahi kuona picha za kipumbavu kila kukicha

  ReplyDelete
 24. Anonymous07:10

  wabongo 2na wvu knyama.diamond ypo juu kma unabxha compete naee

  ReplyDelete
 25. Anonymous23:55

  Aisee Sporah wewe una umbo fit. Naomba utuambie regime yako ya msosi na mazoezi. Na ngozi unafanya nini? Kisha viatu vyako! Chiboko! Nguo zinakufiti kama umezaliwa nazo mamiii. Naomba siku moja nikuone na nywele za kiafrika au kipara. Unaonaje? Naamini utatoka zaidi

  ReplyDelete