Fans ndio wanaokuweka mjini TID my bro kwahiyo nivizuri kuwajibu maswali yao hatakama nimabaya kiasi gani, jaribu kuyajibu tu kiaina fulani, ili tu uwaridhishe fans wako. Muone Sporah yeye amechukua risk kuwaridhisha fans wake na kuuliza maswali magumu na makali kama hayo, tunaitaji show kama hizi Tanzania ili wasanii wajifunza na waanze kueshimu media na fans wao.

ReplyDeleteMh ungepigwa wewe sporah shauri yako, wengine hapo Mahaters, ila napenda ulivyo muwazi, we need more of this in TZ.
ReplyDelete