Joseph Kusaga is one of the Tanzania's best-known entreprenue. Having made his name as the founder and Managing Director
at Clouds Media Group (Clouds FM and CloudsTV)
I am honored and grateful to have him on the show as he is an incredible gentleman and a kind.
JEMBEEEEEE la Tanzania, Kusaga.
ReplyDeleteNimempenda Kusaga bure, sasaivi mi ni team Clouds kwa roho nyeupeeeeeeee.
ReplyDeleteKusaga hanaga tatizo, balaa ni yule muhaya yule.
Deletewote hawana shida, tatizo ni nyie wajinga, ndio maana wenzenu wanaendelea kimaisha na nyie mnaendelea na maneno.
DeleteAcha ujinga wewe, kwani huoni jinsi Clouds TV/Radio wanavyoua musiki wa bongo?? wezi wooote hao. Hana lolote, kwanza huyu Kusaga ndio mbaya zaidi kuliko hata Ruge.
Deletei love this guy, Clouds all the way.
ReplyDeleteKusaga amenifungua macho kwakweli, Team Clouds.
ReplyDeleteDu kweli wabongo noma, wanawachafuliaga clouds kumbe wivu tu, ndio maana umaskini hautuishi kha.
ReplyDeleteKwakweli mi namkubali sana huyu Jamaa, Jitaidi dada umpate Dr R. Mengi.
ReplyDeleteHA HA HA ACHA KUFANYA KAZI NA UJIPANGE VIZURI HALAFU KESHO UANZE KUTAFUTA MCHAWI... Hihihihihi KUSAGA NI NOMAAAAAAAAA i love you bro, umeniamsha usingizini.
ReplyDeleteGood Interview Sporah, well done.
ReplyDeleteNakupenda dada jinsi unavyojiamini.
ReplyDelete