MREMBO ANAEFANYA KAZI ZAIDI YA MOJA BILA KUJALI ULEMAVU WAKE.

This time nilikutana na Wise Lady "Sophia" anajulikana kama Madam Sophia! yeye ni kama unga wa ngano kwasababu ni Mwalimu wa Sekondari, Mjasiliamali na Mwamasishaji kwa jamii. 
Most amazing thing to me about Maddam Sophia is ANAFANYA KAZI ZAIDI YA MOJA BILA KUJALI ULEMAVU WAKE. She is so young and so wise and so caring! Such a sweetheart, honored to know her. 
www.sporah.com

No comments:

Post a Comment